ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Big up bro, nimefatilia huu mjadala kuanzia mwanzo, unachosema ndio kweli yenyewe, hii debate kuuuuubwa ila at the end ulichoandika ndicho Yesu alisema niaminini hakika mtaishi, akasema tena Mungu sio wa wafu bali walio wazima.I totally agree, this is the code we live by.
Mtu binafsi au matendo binafsi yanajikamilishamenyewe katika mlolongo huo huo wa ukamilifu wake. Kuna sehemu nilisoma kuwa a sin carries within itself the seeds of its own destruction
Mfano nikaishi nikiamini katika kutokuwepo katika sio-maisha mwisho wa siku inajisolvu kwenye kifo kiotomati katika uhalisia huo wa kutoamini. Dhambi zote huweza kusamehewa isipokuwa kumkufuru Roho wa Mungu/Mungu. Kwa namna hiyo mkana Mungu []yupo hivyo ni logical na ataushi ukamilifu wa logic za namna hiyo na huo ni UKWELI. Ungekuwa uongo au illogical hicho kitu cha ukana Mungu kisingekuwepo kabisa!!
Lakini ikitokea mtu akaishi akaziishi logic za kuendana na uwepo na maisha mwishoni inajisolvu kiotomati kwenye uzima sambamba na logic zake.
Nahisi we jamaa umefanikiwa kuonesha jinsi mfumo mzima [LOGIC]hauna baya na mtu ni kila jambo linakamilishwa kutokana na logic zake. Kwa baadhi ya mambo ni kutokana na utashi wetu katika kuyaanzisha halafu mfumo unakamilisha bila khiyana. Respect.
Feel free kuweka sawa POINT ambazo sijaenda sawa. Naamini chuma hunoa chuma
THANKS BRO.