God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Argument from ignorance
 
Kwa hiyo alishindwa kuumba ulimwengu ambao utampendeza kila mtu bila kuwa na critics wa ku challenge yale ambayo wanayaona hayako sawa?
 
Kumbe kwake ubishi ni default position
Huyo anaonesha amelelewa na babu yake ambae hatoki vijiwe vya gahwa. Akiokoteokotea vijineno kijiweni anajiona ndiyo kishaelewa kila kitu, anambishia kila mtu kwa asiyo na elimu nayo, ili mradi kasikia yakisemwa na aliyemlipia kahawa siku hiyo ndiyo yashakuwa ni uhalisia.
 
Huwa nakwambia kila siku unazeeka vibaya bi mkubwa.

Siyo tu babu yangu yaani babu zangu sijawahi kuwadiriki kabisa achilia mbali kuishi nao. Kuna mambo hupaswi kuyaongelea sababu kukosea ni kukubwa mno kuliko kupatia.

Kuanza kunijadili mimi kunaonyesha wazi kabisa mmeishiwa hoja.
 
Kwa hiyo alishindwa kuumba ulimwengu ambao utampendeza kila mtu bila kuwa na critics wa ku challenge yale ambayo wanayaona hayako sawa?
Unaona? hapa ni wewe mwenyewe unataka kutokuwepo na unaona ni sahihi kabisa! sasa ni kwa nini usipokee sambamba na imani yako? Unataka dunia ambayo haina critic na hapo upo, the critic mwenyewe!! serious. Anza wewe mwenyewe kwa kuamua kutokuwa critic na hapohapo dunia nzima itachange na utaishi critic-free-earth papo kwa hapo. Amua kuyaona mema ya dunia na kufumba na kufumbua dunia yako nzima itakuwa njema!!

Mungu anatupenda na anatupatia sambamba na tunachokitaka huo ndio upendo. Dfn ya mdogo angu alisema kuna power na kuna will. Power ni uwezo wa kuifanya will yako itendeke yaani iwe. Power ndo kila kitu -Mdogo angu.

Nikamwambia kuna power, kuna will na kuna love. Power ni kama alivyoidefine yeye. Na love ni pale unapotumia power yako willingly kutekeleza will ya huyo unayempenda. It is your will that his/her will be done. Mara nyingi unam-love mtu/entity kwa kuwa unam-trust/unaitrust. Kama hakuna trust na ukatekeleza will ya mtu mwingine itabidi utumie uoga/fear. Mungu anatupenda sisi ndio maana ameamua kwa matakwa yake kuyasikiliza na kuyafanyia kazi matakwa yetu kwa nguvu zake alizonazo. Tukimpenda na sie tutaamua kwa will zetu kutekeleza will yake kwetu. Ndo maana kuna kauli MKINIPENDA MTAZISHIKA AMRI ZANGU.- Mimi

Dunia iliyopo haikufanyi kuwa critic automatically, bali unaamua wewe kuwa critic au vipi ni wewe kama wewe. Na Mungu kwa upendo anakuacha uishi kikamilifu mlolongo mzima wa matukio katika huo mnyororo wa fikara - FreeWILL

Mbona imewezekana katika dunia hii hii nikawepo mimi [trusting people] na ukawepo wewe [sceptic,critic people]. Naamini ni matokeo ya tulivyoamua kuitazama dunia hiihii na kujiumbia uhalisia tofauti. Kila mmoja atauishi ulimwengu anaouona ni sahihi. Aliyechagua maisha ataishi, na aliyechagua kifo atakufa. Ni mapenzi yake, ni will yake mtu binafsi na Mungu Baba kwa upendo wake anatupatia sambamba na chaguzi zetu. LOVE & FREE-WILL
 
Nakukumbusha Mr Scars umeiruka post number 637. Nahitaji challenge zenu kwenye hilo.

Nimejaribu kuipata analojia ya problem of evil.

Imeappeal kwamba hata tunachokiona ni evil, ni kweli kinaumiza ila ni chema in the grand scale of things.

Tukikosa kusudi/purpose njema itakuwa ni vile tu akili zetu ni finite ukilinganisha na akili ya Muumba wa mambo yote hayo. Suluhisho ni trust Him and trust the process. Usijibu hii summary kaisome na uireply hiyo. Post #637
 
Hatukujadili tunakufanyia "analysis" ya "character" yako.
 
Mimi sina naendelea kusoma kwa walimu wangu.
Unajiona ulivyo mjinga, wewe kwa kuwa huna unaona kila mmoja hana kama wewe. Soma...

nalewa kuwa salat hazijaanzia kwa mtume Muhammad Salla Allahu alyhi wasalaam, kwa mujibu wa Qur'an?
 
Unajiona ulivuo mjinga, wewe kwa kuwa huna unaona kila mmoja hana kama wewe. Soma...

nelewa kuwa salat hazijaanzia kwa mtume Muhammad Salla Allahu alyhi wasalaam, kwa mujibu wa Qur'an?
Bi mkubwa iheshimu elimu aisee, elimu siyo kama kama kwenda dukani au kuingia jf, elimu inataka muda na usomeshwe. Wewe huna elimu katika hili, usiminyane, utavunja mgongo.
 
Bi mkubwa iheshimu elimu aisee, elimu siyo kama kama kwenda dukani au kuingia jf, elimu inataka muda na usomeshwe. Wewe huna elimu katika hili, usiminyane, utavunja mgongo.
Niminyane na kinyangarakata kinachouogopa ukweli wa Qur'an? Unanchekesha.

Narudia tena, unafahamau kuwa Salat zimeanza toka kwa Nabii Ibrahim alayhi salaam? Kwa mujibu wa Qur'an?

Usiiogope Qur'an, kama unaelewa hilo unasema naelewa, kama huelewi unasema sielewi.

Qur'an haina shaka kabisa. Unaelewa maana yake nini?
 
Sasa si ujibu swali nililo kuuliza, kina kushinda nini ?
 
Sasa si ujibu swali nililo kuuliza, kina kushinda nini ?
Nimeanza kukujibu zamani sana kwa kukupa ilmu, mpaka ikuingie. Narudia, Je, unafahamu kuwa salat kwa mujibu wa Qur'an haijaanza kwa Mtume Muhammad?
 
Sasa si ujibu swali nililo kuuliza, kina kushinda nini ?
Nimekueleza na nnarudia, je, unajuwa kwa mujibu wa Qur'a sala haijaanzia kwa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam?
 
Unajuaje kwamba kuna kusudi kwa kila jambo?

Kusudi maana yake ni nini?

Wewe unajua kila jambo?

Kama unajua kila jambo, unajuaje?

Kama hujui, utajuaje kwamba kuna kusudi kwa kila jambo?

Kwa nini freewill ni muhimu kuliko kuumba ulimwengu ambao watoto hawawezi kufa kwa kukosa lishe?

Kwani Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao watu wana freewill lakini pia watoto hawafi kwa kukosa lishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…