Logic inapofikiwa Hutenda sawa na Inapokiukwa. Naita Ukamilifu.Kwa sababu logic is an inanimate thing, a concept.
Hakuna mahali nimesema Logic ina LOVE, nilichosema Logic is Love, Evil,Happiness, NI KILA KITU.Concepts do not have love.
LOVE si HISIA, SI TOKEO LA HISIA ZA KIBINADAMU. LOVE IS LOGIC AND LOGIC IS LOVE. UKAMILIFU.Even the concept of love does not have love, people have love, animated beings have love.
Unaweza kuiita logic love, hilo si la mjadala.Unahitaji ushahidi gani kujua kuwa kile unachoita Love ndicho Mimi nikiitacho Logic?
Logic is not love.Logic inapofikiwa Hutenda sawa na Inapokiukwa. Naita Ukamilifu.
Logic ni situation/state/a thing nje ya MIHEMKO YOTE.
Hakuna mahali nimesema Logic ina LOVE, nilichosema Logic is Love, Evil,Happiness, NI KILA KITU.
LOVE si HISIA, SI TOKEO LA HISIA ZA KIBINADAMU. LOVE IS LOGIC AND LOGIC IS LOVE. UKAMILIFU.
Tofautisha Mahaba/Hulka na Love, love iko katika kila kitu maana yenyewe ni kila kitu. Ukamilifu.
Kwangu Logic ni KUWA NJE YA MIHEMKO/UWILI. Na hivyo huo ndio Upendo pia, Kuenenda Nje ya Hulka zangu.Unaweza kuiita logic love, hilo si la mjadala.
Ila, wewe kuiita logic love hakuifanyi logic iwe love.
Thibitisha logic ni love.
Kimantiki, kwa njia ambayo haina contradiction, na njia ambayo haikanushiki kimantiki.
Hata hujathibitisha Mungu yupo. Umehubiri tu.Quran 67: 1-2
"AMETUKUKA ambaye mkononi mwake umo Ufalme wote; na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye ni Mwenye nguvu na Mwenye msamaha"
Hivyo maisha haya si chochote bali ni mtihani ambao Mungu amependa uwepo ili apime kila nafsi jinsi gani itatenda mema.
Ni uamuzi wake Mungu , kwa utashi na utukufu wake amepanga iwe hivyo na imekuwa.
Mungu anasema
Quran 21:23
"Yeye (MUNGU) hahojiwi kwa ayatendayo, na wao (Wanadamu) ndio wanao hojiwa kwa wayatendayo."
Tatizo la wasiomuamini Mungu ni kuwa wanataka kuhoji matendo ya Mungu!.
Huwezi ukaamka tu asubuhi ukasema kwanini Mungu umeruhusu wanadamu tuumwe? Au kwanini hujanipa utajiri kama uliompa fulani!?? Mungu haojiwi anafanya vile anavyotaka yeye na hakuna wa kumzuia ila sisi viumbe ndio tutahojiwa na Mungu juu ya yale tuliyoyatenda ktk ulimwengu huu.
Mungu ameruhusu good and evil things to happen in this world kwa hekima,elimu na busara zake!! Kuruhusu mambo mabaya yatokee haina maana kuwa yupo radhi nayo au anapenda uovu!! Hapana ameyaruhusu haya yote yatokee ili yawe ni mtihani kwetu sisi viumbe.
Something which is ILLOGICAL IS NOTHING, hakijawahi kuwepo popote.Logic is not love.
Because love can be illogical.
Hata hujathibitisha Mungu yupo. Umehubiri tu.
Quran ni kitabu kilichojaa contradictions hivyo sikioni kama kitabu cha maana.
Quran 2:23Hata hujathibitisha Mungu yupo. Umehubiri tu.
Quran ni kitabu kilichojaa contradictions hivyo sikioni kama kitabu cha maana.
Logic ni nyenzo ya kupata ukweli kwa kutumia kanuni za uhalali.Kwangu Logic ni KUWA NJE YA MIHEMKO/UWILI. Na hivyo huo ndio Upendo pia, Kuenenda Nje ya Hulka zangu.
Kwako ni nini?
Hicho kitu illogical hakiwezi kuwepo hata kwenye mawazo yako?Something which is ILLOGICAL IS NOTHING, hakijawahi kuwepo popote.
Ukifikiri hili kuwa ni illogical, basi tambua kuwa huo ndio Ukamilifu/Perfection za Hesabu za Kutokea au kutotokea kwa jambo hili.
Logic ni Kuwa nje ya MIHEMKO/Hulka.
Nitakupa mfano:
Anywaye sumu ya panya na kufa, basi Ukamilifu wa Hesabu za uwezo wa sumu hiyo kumuua umefikiwa. Na yule anywaye na asife, basi tambua kuwa ukamilifu wa hesabu za uwezo wa hiyo sumu kumuua haujafikiwa.
HAIJALISHI NI HESABU GANI ZIMEFIKIWA, cha msingi hapo kila hesaabu ni Ukamilifu wa TOKEO LAKE, NAyO ndio Logic.
Haya ni mahubiri.Quran 2:23
Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.
Jibu maswali niliyo kuuliza. Nilikupa angalizo sababu huwa unakimbia maswali.Unakubali mambo yenye contradiction kuwa yanawezekana kuepo kwenye uhalisia?
Kama vile, duara kuwa pembetatu kwenye Euclidean geometry planes?
Kutokujibu maswali yangu kunakufanya uonekane huna hoja ns hujui unachokiegemea.Hujathibitisha Mungu yupo, hiyo habari ya kuwepo Mungu ni dhana tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Unatakiwa uache utoto kijana. Hii mijadala inataka watu wenye akili timamu na kujenga hoja, kama huwezi kujadiliana kuwa msomaji.Soma post 827 nimeelezea
Masali yako yana ujinga kwa sababu yana anthropic bias, unaelewa maana yake nini?Jibu maswali niliyo kuuliza. Nilikupa angalizo sababu huwa unakimbia maswali.
Utoto uko wapi kwani hiyo post niliyokutajia haina maelezo kuhusu eric ?Unatakiwa uache utoto kijana. Hii mijadala inataka watu wenye akili timamu na kujenga hoja, kama huwezi kujadiliana kuwa msomaji.
Sina tatizo kuonekana sina hoja kama nilivyo na tatizo kutokuwa na hoja.Kutokujibu maswali yangu kunakufanya uonekane huna hoja ns hujui unachokiegemea.