God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Haya ni mahubiri.

Hujathibitisha Mungu yupo.
Alama za uwepo wa Mungu zipo kila sehemu ila kwa viziwi, vipofu na mabubu hawawezi kuzisikia,kuona wala kuzisema. Pole sana.!!

Sasa hivi usiku umeingia kabla hapo ulikuwepo mchana...ni ishara gani zaidi ya hiyo unaitaka kujua kuwa aliyeviumba hivi yupo?

Hii ardhi unayoikanyaga na kutembea kwa jeuri, unadhani imetokea tu spontaneously pasi na kuumbwa?

Hiyo pumzi unayojivunia nayo na kwa kiburi unajitamba kuwa hakuna Mungu , je umeitengeneza wewe!!??

Huoni usiku unapoingia unalala na asubuhi unaamka. Je ni nani anaekutoa katika mauti ya usingizi usiku na kukuhuisha tena asubuhi??

Huzioni ishara za uwepo wa Mungu ndani ya nafsi yako au ni jeuri na kibri ndio vimekujaa kijana??

Quran 15:3

ALLAH anasema

"Waache wale, na wastarehe, na iwazuge tamaa. Watakuja jua."

Siku utakapokuja kujua utakuwa umeshachelewa sana na kwa hakika utakuja kuyakumbuka haya maneno yangu.

ALLAH anasema tena

Quran 6:158

"Wanangoja jengine ila wawafikie Malaika, au awafikie Mola wako Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi? Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini hapo hakutomfaa mtu kitu, ikiwa hakuwa ameamini kabla yake, au amefanya kheri katika Imani yake. Sema: Ngojeni, nasi pia tunangoja"
 
Usiku na mchana unatokea kwa kuwa dunia inajizungusha katika muhimili wake, si kwa sababu kuna Mungu.

Yani hii ndiyo sababu yako ya kuamini Mungu yupo?
 
Ni nani anayeizungusha hii dunia ktk huo mhimili?? Au imetokea tu ikawa hivyo?
Kwa nini swali lako linauliza nani? Unajuaje swali la "nani" ndilo linakupa jibu sahihi?

Nikikuuliza "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?" utanijibu vipi?
 
Kwa nini swali lako linauliza nani? Unajuaje swali la "nani" ndilo linakupa jibu sahihi?

Nikikuuliza "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?" utanijibu vipi?
Nini kinafanya hii dunia izunguke kwenye huo muhimili? Je ulishwahi kuuona huo muhimili?? Tuthibitishie uwepo wa huo muhimili!!
 
K
Kwa nini kuona kuwe muhimu? Wewe ulishawahi kumuona huyo Mungu?

Unajibizana nami hapa JF, ulishawahi kuniona?
Kwahiyo una biase kuwa unaamini muhimili upo licha ya kuwa hujauona ila huamini Mungu kama yupo kwasababu hujamuona.

Nimeamini sasa kwanini Mungu kawafananisha wasioamini kuwa ni sawa na wanyama au ni zaidi ya wanyama
 
Al-A'raf 7:179

وَلَقَدْ ذَرَأْنَا لِجَهَنَّمَ كَثِيرًا مِّنَ ٱلْجِنِّ وَٱلْإِنسِۖ لَهُمْ قُلُوبٌ لَّا يَفْقَهُونَ بِهَا وَلَهُمْ أَعْيُنٌ لَّا يُبْصِرُونَ بِهَا وَلَهُمْ ءَاذَانٌ لَّا يَسْمَعُونَ بِهَآۚ أُو۟لَٰٓئِكَ كَٱلْأَنْعَٰمِ بَلْ هُمْ أَضَلُّۚ أُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلْغَٰفِلُونَ

And We have certainly created for Hell many of the jinn and mankind. They have hearts with which they do not understand, they have eyes with which they do not see, and they have ears with which they do not hear. Those are like livestock; rather, they are more astray. It is they who are the heedless.
 
Mambo kwa ground yanazidi kuwa magumu.
Screenshot_20220607-203046.jpg
 
Logic ni nyenzo ya kupata ukweli kwa kutumia kanuni za uhalali.
Nini kinapima huo uhalali? Hizo kanuni unazitoa wapi?
Kuna sehemu logic inaweza kuwa ndani ya mihemko na uwili.

Kwa mfano, logic ya computer systems ipo katika binary base ya 0/1. Hivyo hoja yako ya kwamba logic ni kuwa nje ya uwili si kweli.

Kuna sehemu logic ya kemia za ubongo zinavyofanya kazi inataka mtu apate mhemko kutokana na kemikali zinavyofanya kazi ubongoni, hivyo si kweli kwamba logic ni kuwa nje ya mihemko, kuna sehemu kutokuwa na mihemko ndiyo kukosa logic.

Logic ni nyenzo ya kupata ukweli
Ni kusema kuwa Logic Si Ukweli wenyewe? Logic si Nyenzo, Bali yenyewe ndio UKweli.
kwa kutumia kanuni za uhalali.
Kanuni za uhalali ni zipi? Zinatoka wapi? Nini kimeweka uhalali wake? Na ni halali kwa nami au Nini?
Kuna sehemu logic inaweza kuwa ndani ya mihemko na uwili.
Hakuna Logic ndani ya MIHEMKO, maana MIHEMKO ni KIINI MACHO/NOTHING.

LOGIC haiweizi kuwa na UWILI, maana kuwa hivyo tu ni Udhaifu tayari.
Kwa mfano, logic ya computer systems ipo katika binary base ya 0/1. Hivyo hoja yako ya kwamba logic ni kuwa nje ya uwili si kweli.
Kwamba kidubwana kinachoundwa na Binadamu unafikiri kinaweza kuwa na perfection hii tunayosema hapa?

0/1 ya computer si kipimo cha Logic, kunaweza kuwa na proper binary process ya computer katika Mfumo wake, lakini bado screen ikashindwa kudisplay properly. UWILI wowote uko nje ya Logic.
Kuna sehemu logic ya kemia za ubongo zinavyofanya kazi inataka mtu apate mhemko kutokana na kemikali zinavyofanya kazi ubongoni, hivyo si kweli kwamba logic ni kuwa nje ya mihemko, kuna sehemu kutokuwa na mihemko ndiyo kukosa logic.
Kushindwa kwa MTU kuitafsiri Logic hakufanyi MIHEMKO kuwa Logic. Udhaifu wa UWILI Wetu ndio unaofanya Logic tuone ni MIHEMKO.
 
Hicho kitu illogical hakiwezi kuwepo hata kwenye mawazo yako?
Je, kikiwepo tu kwenye mawazo yangu kitahalalisha Uwepo wake?

Kwanini unasema hakuna Mungu wakati hicho kitu kipo kwenye mawazo yako?
Kama hakiwezi, umewezaje kukifikiria na kukiandika?
Je, kila tunachofikiria kipo? Wewe ulifikiria Pembetatu Duara, je kwa kufikiria tu hilo inafanya Uwepo wake?
Kama kinaweza, utawezaje kusema hakiwezi kutokea popote?
Hakijawahi kuwepo.
 
Nimesoma hoja zako zoote mtiririko wake naona zimebase katika hichi kitu. Nakubaliana na wewe kuwa huu ni UKWELI kabisa.
Vema.
Sema umeweka kalimit kwenye kukubaliana na hali.
Usiogope/Punguza hofu.
Wacha tutumie mfano wa MTU kuonesha kuwa tunaposema ni kila kitu haikatai kusema ina kakitu. Nakubali ni analogy tu na haimuwakilishi Mungu kikamilifu-----hakuna mfano unaoweza kufanya hivyo anyway.
Sawa.
Huwa tunamchukulia mtu kama vile ni pointi fulani ya idea ambayo ipo na hatuwezi kusonta [daah hilinneno sijalitumia nna miaka😂] sehemu alipo na ndio akawa hapohapo tu kweli. Ila ukipoint kichwa chake ukasema huyu hapa ni sawa ni yeye, ukipoint kifua, tumbo, mguu, mkono tutajua ni yeye pia.
Hiyo ni kwa sababu mtu ni kuanzia lile wazo la huyo mtu na kila kitu cha mwili wa huyo mtu pia!

Kwa hiyo mimi nipo, na nipo sehemu zote za mwili wangu ni kila kitu changu na ni mimi. Nina uwezo wa kusema mkono wangu na hapohapo mtu akiugusa nitasema amenigusa mimi. Haikatai.

Hata wewe unao mguu mimi nitasema ni mguu wako na ukinipiga teke nitasema ni WEWE umenipiga teke. Tunaweza kusema ubongo wako na ukiwaza madini ukayatema hapa kama ufanyavyo tutasema ni wewe umetema madini kuntu.
Sawa.
Kwa hiyo itukataze nini kuchukua sifa moja aliyonayo Mungu na kusema anatumia logic zake na hapohapo tukitaka kumpoint Mungu tunaweza kusema umeiona Logic ile pale yule ndo Mungu. Kuna wengine hupoint kwenye Uzuri na kusema uzuri ni wa Mungu na ndio Mungu [Goodness].
Aje kwa watakaopoint kwenye ule unaosemwa kuwa ubaya? Mfano, Mungu ni Shetani.... Mtapokea sawa na kauli ya Mungu ni Upendo?
Mi nitahitimisha kusema kuwa Mungu ana personality na ndiyo personality yenyewe. Ana upendo na ukipoint upendo ni Mungu. Kwa kuwa Mungu ni kila kitu basi pia tunaweza kusema ana kila kitu. Chenye kuwa na sifa kina 'personality' na kwa beings hizo personalities ndiyo being yenyewe hapohapo.
Is God a being?
Personality yoyote aifanyayo Binadamu kwa Mungu ni Batili maana zimejaa UWILI ambao Binadamu huyohuyo hataki kuuwajibikia juu ya anachokiita Mungu.
Mfano:
Ukisema Mungu ana Upendo, Hasira, Huruma, nk... Basi uwe tayari kukubali kuwa Mungu ana Hulka.

Ukusema huko hivi, ukubali pia kuwa hawezi kuwa vile. Ukisema ana macho, ukubali kusikia ana kichogo, ujisema anaketi, ukubali pia kuwa ana kiungo kiketio.

YA NINI YOTE HAYO?
Je bado unahisi kuwa kila kitu na kuwa na kila kitu ni mutually exclusive situations? Karibu ujadili....😊
KUWA na Kila Kitu si Sawa na KUWA KILA KITU.

Kuwa Kila Kitu ni Ukamilifu, kuwa na.... Ni UWILI.
 
Masali yako yana ujinga kwa sababu yana anthropic bias, unaelewa maana yake nini?
Huna uwezo wa kujibu maswali yangu.

Hata nikikupa miaka kumi uonyeshe ujinga wa maswali yangu hutaweza.
 
Sina tatizo kuonekana sina hoja kama nilivyo na tatizo kutokuwa na hoja.

Mungu wako kashindwa mtihani wa logical consistency, dhana ya kuwapo kwake ina contradiction.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
Huu mtindo wa kufika hitimisho kwa namna hii nimeshaukosoa, hajibu hivi isipokuwa mtu mjingi. Siku ukijua msingi mama wa logic utaona ya kuwa logic ina ukomo.

Yaani unasema "Mungu hayupo, kwa sababu hayupo". Halafu unakuja kudai maswali yangu yans ujinga. Hii kauli "...kwa sababu hayupo haiwi sababu kwa sababu si sababu ya kutokuwepo. Hii ni namna tu ya logic katika kufikia hitimisho bila kujadili kiini cha hoja.

Wakana mungu wote hawajahi kuwa na akili timamu.

Unataka uthibitishiwe mara ngapi ?
 
Mbona kwa binadamu sijui kama ni kwetu wote. Ila naona mfano uwepo wa mimi upo ni kama katika kapointi fulani kakufikirika nje ya mwili wangu lakini oia hapohapo nipo katika kila sehemu ya huu mwili wangu. Huo uwanda/point niliyopo ndiyo kama mbinguni halafu tena pote mwilini ndiyo kama ulimwenguni pote. Haikatai.

Kwa kukataa kwako 'hayupo' na kusisitiza kuwa 'haipo' kwani unahisi ni nini kitaharibika kwa Mungu kuwa ni personality, a being.
Mara tu utakapoipersonalize hiyo Perfection itavaa UWILI nao hautaweza kuwa nje ya Makosa,Udhaifu, Mapungufu, Uovu, Ujinga, Ulimbukeni, MIHEMKO, Hulka, Chuki, Husda, woga, nk.....
Je unataka kusema kuwa 'hiyo' Mungu yako ni kitu mechanical na hakipo conscious, je hakimake decisions fulani fulani? hakipendi yaani ni kitu neutral kabisa kama LOGIC ilivyo
Hakika. Ni Ukamilifu.
, kwamba ni sheria tu inayoendesha/[inayojiendesha] vitu mechanistically kama concept aliyokuuliza bwana Kiranga. Naomba useme utofauti wako na Kiranga then?
Shida ya Kiranga ni ku-generalize kila atamkaye Mungu kwa kuwavisha sifa siganishi alizozichagua kuzisemea siku zote.
 
Utoto uko wapi?

Kwani we si ndiye unasema unatakiwa kukusoa kielimu, imekuwaje leo?
Sasa kama hujui kama ulichokiandika ni ujinga na ukajiona unajua, wewe siyo wa kukosolewa wewe ni wa kuachwa, wanakosolewa wenye afadhali kwa kile walichikiandika, sasa wewe kwenye hichi imekuwa potelea mbali.

Ukiandika vya afadhali na vyenye maana nitakukosoa au nitakujibu.

Kwahiyo siyo kila jambo linahitaji majibu au maelezo.
 
Back
Top Bottom