Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,359
Alama za uwepo wa Mungu zipo kila sehemu ila kwa viziwi, vipofu na mabubu hawawezi kuzisikia,kuona wala kuzisema. Pole sana.!!Haya ni mahubiri.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Usiku na mchana unatokea kwa kuwa dunia inajizungusha katika muhimili wake, si kwa sababu kuna Mungu.Alama za uwepo wa Mungu zipo kila sehemu ila kwa viziwi, vipofu na mabubu hawawezi kuzisikia,kuona wala kuzisema. Pole sana.!!
Sasa hivi usiku umeingia kabla hapo ulikuwepo mchana...ni ishara gani zaidi ya hiyo unaitaka kujua kuwa aliyeviumba hivi yupo?
Hii ardhi unayoikanyaga na kutembea kwa jeuri, unadhani imetokea tu spontaneously pasi na kuumbwa?
Hiyo pumzi unayojivunia nayo na kwa kiburi unajitamba kuwa hakuna Mungu , je umeitengeneza wewe!!??
Huoni usiku unapoingia unalala na asubuhi unaamka. Je ni nani anaekutoa katika mauti ya usingizi usiku na kukuhuisha tena asubuhi??
Huzioni ishara za uwepo wa Mungu ndani ya nafsi yako au ni jeuri na kibri ndio vimekujaa kijana??
Quran 15:3
ALLAH anasema
"Waache wale, na wastarehe, na iwazuge tamaa. Watakuja jua."
Siku utakapokuja kujua utakuwa umeshachelewa sana na kwa hakika utakuja kuyakumbuka haya maneno yangu.
ALLAH anasema tena
Quran 6:158
"Wanangoja jengine ila wawafikie Malaika, au awafikie Mola wako Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi? Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini hapo hakutomfaa mtu kitu, ikiwa hakuwa ameamini kabla yake, au amefanya kheri katika Imani yake. Sema: Ngojeni, nasi pia tunangoja"
Ni nani anayeizungusha hii dunia ktk huo mhimili?? Au imetokea tu ikawa hivyo?Usiku na mchana unatokea kwa kuwa dunia inajizungusha katika muhimili wake, si kwa sababu kuna Mungu.
Kwa nini swali lako linauliza nani? Unajuaje swali la "nani" ndilo linakupa jibu sahihi?Ni nani anayeizungusha hii dunia ktk huo mhimili?? Au imetokea tu ikawa hivyo?
Je ulishwahi kuuona huo muhimili?Usiku na mchana unatokea kwa kuwa dunia inajizungusha katika muhimili wake, si kwa sababu kuna Mungu.
Yani hii ndiyo sababu yako ya kuamini Mungu yupo?
Nini kinafanya hii dunia izunguke kwenye huo muhimili? Je ulishwahi kuuona huo muhimili?? Tuthibitishie uwepo wa huo muhimili!!Kwa nini swali lako linauliza nani? Unajuaje swali la "nani" ndilo linakupa jibu sahihi?
Nikikuuliza "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?" utanijibu vipi?
Kwa nini kuona kuwe muhimu? Wewe ulishawahi kumuona huyo Mungu?Je ulishwahi kuuona huo muhimili?
Unajua Kiingereza?Nini kinafanya hii dunia izunguke kwenye huo muhimili? Je ulishwahi kuuona huo muhimili?? Tuthibitishie uwepo wa huo muhimili!!
Kwahiyo una biase kuwa unaamini muhimili upo licha ya kuwa hujauona ila huamini Mungu kama yupo kwasababu hujamuona.Kwa nini kuona kuwe muhimu? Wewe ulishawahi kumuona huyo Mungu?
Unajibizana nami hapa JF, ulishawahi kuniona?
Nini kinapima huo uhalali? Hizo kanuni unazitoa wapi?Logic ni nyenzo ya kupata ukweli kwa kutumia kanuni za uhalali.
Kuna sehemu logic inaweza kuwa ndani ya mihemko na uwili.
Kwa mfano, logic ya computer systems ipo katika binary base ya 0/1. Hivyo hoja yako ya kwamba logic ni kuwa nje ya uwili si kweli.
Kuna sehemu logic ya kemia za ubongo zinavyofanya kazi inataka mtu apate mhemko kutokana na kemikali zinavyofanya kazi ubongoni, hivyo si kweli kwamba logic ni kuwa nje ya mihemko, kuna sehemu kutokuwa na mihemko ndiyo kukosa logic.
Ni kusema kuwa Logic Si Ukweli wenyewe? Logic si Nyenzo, Bali yenyewe ndio UKweli.Logic ni nyenzo ya kupata ukweli
Kanuni za uhalali ni zipi? Zinatoka wapi? Nini kimeweka uhalali wake? Na ni halali kwa nami au Nini?kwa kutumia kanuni za uhalali.
Hakuna Logic ndani ya MIHEMKO, maana MIHEMKO ni KIINI MACHO/NOTHING.Kuna sehemu logic inaweza kuwa ndani ya mihemko na uwili.
Kwamba kidubwana kinachoundwa na Binadamu unafikiri kinaweza kuwa na perfection hii tunayosema hapa?Kwa mfano, logic ya computer systems ipo katika binary base ya 0/1. Hivyo hoja yako ya kwamba logic ni kuwa nje ya uwili si kweli.
Kushindwa kwa MTU kuitafsiri Logic hakufanyi MIHEMKO kuwa Logic. Udhaifu wa UWILI Wetu ndio unaofanya Logic tuone ni MIHEMKO.Kuna sehemu logic ya kemia za ubongo zinavyofanya kazi inataka mtu apate mhemko kutokana na kemikali zinavyofanya kazi ubongoni, hivyo si kweli kwamba logic ni kuwa nje ya mihemko, kuna sehemu kutokuwa na mihemko ndiyo kukosa logic.
Je, kikiwepo tu kwenye mawazo yangu kitahalalisha Uwepo wake?Hicho kitu illogical hakiwezi kuwepo hata kwenye mawazo yako?
Je, kila tunachofikiria kipo? Wewe ulifikiria Pembetatu Duara, je kwa kufikiria tu hilo inafanya Uwepo wake?Kama hakiwezi, umewezaje kukifikiria na kukiandika?
Hakijawahi kuwepo.Kama kinaweza, utawezaje kusema hakiwezi kutokea popote?
Nimeisoma ndiyo maana nakwambia acha utoto.Utoto uko wapi kwani hiyo post niliyokutajia haina maelezo kuhusu eric ?
Vema.Nimesoma hoja zako zoote mtiririko wake naona zimebase katika hichi kitu. Nakubaliana na wewe kuwa huu ni UKWELI kabisa.
Usiogope/Punguza hofu.Sema umeweka kalimit kwenye kukubaliana na hali.
Sawa.Wacha tutumie mfano wa MTU kuonesha kuwa tunaposema ni kila kitu haikatai kusema ina kakitu. Nakubali ni analogy tu na haimuwakilishi Mungu kikamilifu-----hakuna mfano unaoweza kufanya hivyo anyway.
Huwa tunamchukulia mtu kama vile ni pointi fulani ya idea ambayo ipo na hatuwezi kusonta [daah hilinneno sijalitumia nna miaka😂] sehemu alipo na ndio akawa hapohapo tu kweli. Ila ukipoint kichwa chake ukasema huyu hapa ni sawa ni yeye, ukipoint kifua, tumbo, mguu, mkono tutajua ni yeye pia.
Sawa.Hiyo ni kwa sababu mtu ni kuanzia lile wazo la huyo mtu na kila kitu cha mwili wa huyo mtu pia!
Kwa hiyo mimi nipo, na nipo sehemu zote za mwili wangu ni kila kitu changu na ni mimi. Nina uwezo wa kusema mkono wangu na hapohapo mtu akiugusa nitasema amenigusa mimi. Haikatai.
Hata wewe unao mguu mimi nitasema ni mguu wako na ukinipiga teke nitasema ni WEWE umenipiga teke. Tunaweza kusema ubongo wako na ukiwaza madini ukayatema hapa kama ufanyavyo tutasema ni wewe umetema madini kuntu.
Aje kwa watakaopoint kwenye ule unaosemwa kuwa ubaya? Mfano, Mungu ni Shetani.... Mtapokea sawa na kauli ya Mungu ni Upendo?Kwa hiyo itukataze nini kuchukua sifa moja aliyonayo Mungu na kusema anatumia logic zake na hapohapo tukitaka kumpoint Mungu tunaweza kusema umeiona Logic ile pale yule ndo Mungu. Kuna wengine hupoint kwenye Uzuri na kusema uzuri ni wa Mungu na ndio Mungu [Goodness].
Is God a being?Mi nitahitimisha kusema kuwa Mungu ana personality na ndiyo personality yenyewe. Ana upendo na ukipoint upendo ni Mungu. Kwa kuwa Mungu ni kila kitu basi pia tunaweza kusema ana kila kitu. Chenye kuwa na sifa kina 'personality' na kwa beings hizo personalities ndiyo being yenyewe hapohapo.
KUWA na Kila Kitu si Sawa na KUWA KILA KITU.Je bado unahisi kuwa kila kitu na kuwa na kila kitu ni mutually exclusive situations? Karibu ujadili....😊
Huna uwezo wa kujibu maswali yangu.Masali yako yana ujinga kwa sababu yana anthropic bias, unaelewa maana yake nini?
Huu mtindo wa kufika hitimisho kwa namna hii nimeshaukosoa, hajibu hivi isipokuwa mtu mjingi. Siku ukijua msingi mama wa logic utaona ya kuwa logic ina ukomo.Sina tatizo kuonekana sina hoja kama nilivyo na tatizo kutokuwa na hoja.
Mungu wako kashindwa mtihani wa logical consistency, dhana ya kuwapo kwake ina contradiction.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Mara tu utakapoipersonalize hiyo Perfection itavaa UWILI nao hautaweza kuwa nje ya Makosa,Udhaifu, Mapungufu, Uovu, Ujinga, Ulimbukeni, MIHEMKO, Hulka, Chuki, Husda, woga, nk.....Mbona kwa binadamu sijui kama ni kwetu wote. Ila naona mfano uwepo wa mimi upo ni kama katika kapointi fulani kakufikirika nje ya mwili wangu lakini oia hapohapo nipo katika kila sehemu ya huu mwili wangu. Huo uwanda/point niliyopo ndiyo kama mbinguni halafu tena pote mwilini ndiyo kama ulimwenguni pote. Haikatai.
Kwa kukataa kwako 'hayupo' na kusisitiza kuwa 'haipo' kwani unahisi ni nini kitaharibika kwa Mungu kuwa ni personality, a being.
Hakika. Ni Ukamilifu.Je unataka kusema kuwa 'hiyo' Mungu yako ni kitu mechanical na hakipo conscious, je hakimake decisions fulani fulani? hakipendi yaani ni kitu neutral kabisa kama LOGIC ilivyo
Shida ya Kiranga ni ku-generalize kila atamkaye Mungu kwa kuwavisha sifa siganishi alizozichagua kuzisemea siku zote., kwamba ni sheria tu inayoendesha/[inayojiendesha] vitu mechanistically kama concept aliyokuuliza bwana Kiranga. Naomba useme utofauti wako na Kiranga then?
Utoto uko wapi?Nimeisoma ndiyo maana nakwambia acha utoto.
Sasa kama hujui kama ulichokiandika ni ujinga na ukajiona unajua, wewe siyo wa kukosolewa wewe ni wa kuachwa, wanakosolewa wenye afadhali kwa kile walichikiandika, sasa wewe kwenye hichi imekuwa potelea mbali.Utoto uko wapi?
Kwani we si ndiye unasema unatakiwa kukusoa kielimu, imekuwaje leo?