Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Imani ni kitu binafsi hatuwezi kuwa na imani moja kwa sababu ni watu tofauti.
Uzuri au ubaya wa imani ni kuwa yule anayeamini anaishi na au kufa humo akifaidi mambo yoooote ya hiyo imani yake binafsi. Wewe ukija leo ukasema yule wa zamani alikoseaga tambua kuwa haimuathiri yeye kama hiyo feeling inavyokuathiri wewe.
Kila mtu anaishi dunia yake/ uhalisia wake hatupangiani
Jambo kuwa binafsi ni swala lingine na jambo kuwa ukweli ni swala lingine
Usifanye ionekane kuwa jambo ambalo linadaiwa kuwa lakibinafsi haliwezekani kujua ni la kweli au lah
Au kufanya jambo hilo likubaliwe kwa dhana ya ukweli kwakua tu limedaiwa ni jambo binafsi
Uwongo wowote unaweza ukalindwa kwa mgongo huo