Goli bora CAFCL, Miqsone akimbiza. Mpigie kura sasa

Goli bora CAFCL, Miqsone akimbiza. Mpigie kura sasa

Sasa hivi Mique ni 36
Jamaa Ben Romdhane ni 64.

Maskini!.
Only 5 hours to go.
 
Sasa hivi Mique ni 36
Jamaa Ben Romdhane ni 64.

Maskini!.
Only 5 hours to go.
hii ngoma ngumu wa misri wamejaa twitter ila goli la luis ni kali sana sema ndo hivyo wabongo wamejaa facebook na insta,twitter ni siasa tu
 
hii ngoma ngumu wa misri wamejaa twitter ila goli la luis ni kali sana sema ndo hivyo wabongo wamejaa facebook na insta,twitter ni siasa tu
Na Miquessone kura zake zinazidi kupungua!.

Wabongo huko twitter ni wachache. Ingekuwa Instagram, sawa!.
 
Back
Top Bottom