NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hakika kazi umeimaliza.Hatuna dogo,tushapiga kura Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika kazi umeimaliza.Hatuna dogo,tushapiga kura Mkuu
Vp kama mwakani mkataba wake ukaisha na akaondoka kama mchezaji huru haitakuwa hasaraHawamuuzi uongozi wa simba umegoma
Sasa atakuwa anashindana na mchezaji wa al ahly ya Misri.View attachment 1869424
Nenda kampigie kura dogo ashinde. Hata kama ni Yanga kampe dogo kiroho saaafi
Updates
Luis ameshinda kwa kishindo 92.5%
View attachment 1870577
hii ngoma ngumu wa misri wamejaa twitter ila goli la luis ni kali sana sema ndo hivyo wabongo wamejaa facebook na insta,twitter ni siasa tuSasa hivi Mique ni 36
Jamaa Ben Romdhane ni 64.
Maskini!.
Only 5 hours to go.
Na Miquessone kura zake zinazidi kupungua!.hii ngoma ngumu wa misri wamejaa twitter ila goli la luis ni kali sana sema ndo hivyo wabongo wamejaa facebook na insta,twitter ni siasa tu