Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Msigwa ametoa tamko hapa Azam Sports HD, kwa hatua ya nusu fainali goli moja ni 20 milioni.
Sipendezwi na hizi kampeni
Sipendezwi na hizi kampeni
Utopolo Acha wivu nyambafu mchafukogeHizo 20M apelekee wasiojiweza huko vijijini.
Waache kuingiza siasi kwenye football.
Hizi ni shahawa zilizopotea bure...Utopolo Acha wivu nyambafu mchafukoge
Haka ka nchi kuna ka nchi kengine ndani yake!, ila kuelewa mpaka ujisumbue kidogo tu!
Kabisa ni za kipuuzi. Hazina tija.Msigwa ametoa tamko hapa Azam Sports HD, kwa hatua ya nusu fainali goli moja ni 20 milioni.
Sipendezwi na hizi kampeni
Nani aliwahi kusema mama anaipendelea Yanga? Kwanza aipendelee kwa lipi Yanga?Siku hizi huwezi kusikia zile kelele zetu pendwa za mama anaipendelea Yanga!
Nipo namsikiliza Rebeca Mulesi saivi akimtaftia msaada TelezaPesa zozote unazotumia zikiwa hazitokani na nguvu zako huwa hazina thamani!!, Natamani siku moja huyu Bibi asikilize radio free Afrika siku ya jpl watu wanavyokoswa misaaada ya matibabu kisa pesa...kamwe asingegawa pesa kwa sehem isiyo na tija kwa wtz wote.