Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,835
- 8,418
Mkuu ni hatari.... Tuna viongozi wa hivyo na wasio na maana zaidi ya UPUUZI tu.Nipo namsikiliza Rebeca Mulesi saivi akimtaftia msaada Teleza
Mkuu ni hatari.... Tuna viongozi wa hivyo na wasio na maana zaidi ya UPUUZI tu.Nipo namsikiliza Rebeca Mulesi saivi akimtaftia msaada Teleza
Kauli aliyoshindwa kuiishi kwa"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"
Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania