Fabian Zegge
Member
- Sep 20, 2018
- 15
- 14
Mzee huoni aibu unabisha pekee yako!?Kwanini mpira
1. Ukimgonga referii unarudi kwake aukabidhi kwa wahusika
2. Kwanini mchezaji akiwa offside japo hajagusa mpira lakini kama kamcheza kipa kwa maana moja ama nyingine inaitwa distraction
Tunaongelea refarii kuwacheza Azam yaani distraction
ficha ignorance mkuuUkuta kwenye mpira sehemu hiyo karibu na goli ndio unapangwaga hivyo.. kwa umbali huo
View attachment 1831117
Cheki magoli haya ya quick free kicks duniani kote.Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
Ndugu yangu huwezi kuelewa maana hujui mpira Wala hufuatilii mpira , kingine unasema kwa kawaida,maana yake umekariri. Kilichofanyika ni sahihi na refa alikuwa sahihi. Ingia YouTube angalia Liverpool vs Barcelona, Simba vs Nkana Red Devil na mengine mengi.Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
Imeisha hiyooo,unafikiri hawaelewi basiii,ni vile tu wanawaza wakikutana na mnyama itakuaje siku hiyo,manake hakuna janja janja,ni mpira wa wazi kabisaNdugu yangu huwezi kuelewa maana hujui mpira Wala hufuatilii mpira , kingine unasema kwa kawaida,maana yake umekariri. Kilichofanyika ni sahihi na refa alikuwa sahihi. Ingia YouTube angalia Liverpool vs Barcelona, Simba vs Nkana Red Devil na mengine mengi.
Watakwambia kwa huko mbele ruksaCheki magoli haya ya quick free kicks duniani kote.
Umesema vzr tatizo hapo uliomalizia mstar wa mwisho.Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
Sikiliza na hi kwa utulivu mkubwaKwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.