Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Kwanini mpira

1. Ukimgonga referii unarudi kwake aukabidhi kwa wahusika

2. Kwanini mchezaji akiwa offside japo hajagusa mpira lakini kama kamcheza kipa kwa maana moja ama nyingine inaitwa distraction

Tunaongelea refarii kuwacheza Azam yaani distraction
Mzee huoni aibu unabisha pekee yako!?
 
Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
 
Azam walichofanyiwa na simba ya baba yao tff
Screenshot_20210624-235731.jpg
 
Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
Cheki magoli haya ya quick free kicks duniani kote.
 
Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
Ndugu yangu huwezi kuelewa maana hujui mpira Wala hufuatilii mpira , kingine unasema kwa kawaida,maana yake umekariri. Kilichofanyika ni sahihi na refa alikuwa sahihi. Ingia YouTube angalia Liverpool vs Barcelona, Simba vs Nkana Red Devil na mengine mengi.
 
Hilo goli linanikumbusha Liva vs Barca second leg ile kona ya Arnold.

Pia goli la Barca vs Liva faulo ya Messi wachezaji wa Liva walikua hawajakaa sawa.

Pia game ya West ham na Arsenal second leg msimu huu. Partey kacheza faulo akawapa mpira Westham muda wachezaji wa Arsenal wanajadiliana nani akae mbele Westham wakaanza fasta likaenda kupigwa goli.

Kama unaangalia mpira wa ulaya siku hizi utaona ikitokea faulo mchezaji anaupeleka mpira mbali makusudi au anaushika mpaka aone wenzake wamekaa tayari tayari.
 
Ndugu yangu huwezi kuelewa maana hujui mpira Wala hufuatilii mpira , kingine unasema kwa kawaida,maana yake umekariri. Kilichofanyika ni sahihi na refa alikuwa sahihi. Ingia YouTube angalia Liverpool vs Barcelona, Simba vs Nkana Red Devil na mengine mengi.
Imeisha hiyooo,unafikiri hawaelewi basiii,ni vile tu wanawaza wakikutana na mnyama itakuaje siku hiyo,manake hakuna janja janja,ni mpira wa wazi kabisa
 
Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
Umesema vzr tatizo hapo uliomalizia mstar wa mwisho.
" Huu ulkua ushindi wa azam"
Labda useme sare!
 
Kwa kawaida kama kuna faulo lazima refa ahakikishe wachezaji wa pande zote wamejipanga na ndipo apulize kipenga. Kitendo cha leo cha refa akiwa bado anazungumza na wachezaji wa Azam halafu kabla hajaruhusu mpira upigwe mchezaji wa Simba anaanzisha mpira na kufunga. Binafsi ule ni uonevu mkubwa na kama ni ushindi basi refa ndo amewapa Simba ushindi. TFF wapeni adhabu marefa kama wale ikiwa ni kuwafungia maisha. Kweli inauma. Poleni sana Azama ule ulikuwa ushindi wenu.
Sikiliza na hi kwa utulivu mkubwa
 
Lile ni goli halali kabisa wee utopolo!
Wachezaji wa azam wamefanya uzembe wenyewe, badala ya kulinda concentration zone wanakimbilia kucomplain ili waonewe huruma, jambo ambalo lisingewezekana! Walitakiwa walinde goli lao kwa kusimama mbele ya mpira ili refa aweke ukuta au hata wangeuchukua mpira!
Wachezaji ndio waliomsemesha refa kwa kutokujua kuwa kuna kitu kinaitwa quick start ambapo upande unaopiga hauhitaji ukuta!
Kumbuka faulo inatakiwa imnufaishe aliyetendewa kosa, so kama ataona upo upenyo wa kuanzisha mpira haraka anafanya hivyo!
Yaani nyie utopolo kichwani ni bure kabisa!
 
Mimi niliyecheza ligi daraja la nne na la tatu, refa akipuliza kipenga Cha faulo muangalieni kwa makini akinyoosha mkono juu huku kapuliza kipenga juu hapo and maanisha indirect free kick, mpigaji wa faulo lazima ampasie mtu mwingine ili goli lihesabike. In maana km kwenye huo mchezo wa Azam refa angenyoosha mkono juu na mfungaji akafunga bila kutoa pas kwa mtu mwingine goli lisingehesabika, ingerudiwa. Lkn asiponyoosha mkono akapiga tu firimbi in maana hiyo no direct kick na mpigaji anapiga moja kwa moja golini na goli linahesabika. Na hiyo kitu mnafundishwa uwanjani, na mnakuwa na mchezaji rasmi uwanjani kazi yake kufuatilia hizo free kicks. Hapo ilibidi mchezaji mmoja wa Azam asimame kwenye mpira ulipowekwa km obstruction ili kuruhusu wenzie wajipange au anauchukua mpira anakuwa nao ili mradi kuzuga jamaa wajipange. Msipokuwa makini ndo hayo Azam yamewatokea
 
Back
Top Bottom