Goli la Waziri JR ni offside

Kwani wazir alifikaje hapo ama alikuwa kaganda tu hapo? Hakutokea nyuma na mabeki!? Akawaacha?
 
angalia mpiga pass alkua wap na mpokeaj alikua wap hilo n clear goal no offside
 
tarehe 3 hatucheeezi hatucheeeziiiiiiii 🤣😂😅😆
 
Hilo goli ni sawa na lile aliloshinda Ronaldo vs Germany....

Huyo mpiga pasi Tuisila yupo mbele ya mabeki hivyo haiwezi kuwa offside
 
Mbona anayepiga cross yupo mbele ya mfungaji? Au mimi ndiye mwenye makengeza?
 
Hapo offside hakuna mkuu. Ukiangalia kupitia video mtoa pasi hakupokea na kutoa pasi moja kwa moja (hapo ingekuwa offside), ila alipokea halafua ameburuza mpira. Walichokosea mabeki wa Mwadui ni kusimama badala ya kumkaba Waziri Junior. Vilevile kwenye move namna hiyo usitegemee kucheza offside trick. Hili ni sawa na goli walilofungwa Prisons na Simba (goli la kusawazisha) hapo hapo kwa Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…