Goli la Waziri JR ni offside

Goli la Waziri JR ni offside

Hapo offside hakuna mkuu. Ukiangalia kupitia video mtoa pasi hakupokea na kutoa pasi moja kwa moja (hapo ingekuwa offside), ila alipokea halafua ameburuza mpira. Walichokosea mabeki wa Mwadui ni kusimama badala ya kumkaba Waziri Junior. Vilevile kwenye move namna hiyo usitegemee kucheza offside trick. Hili ni sawa na goli walilofungwa Prisons na Simba (goli la kusawazisha) hapo hapo kwa Mkapa.
Ukijaribu kuangalia video kwa umakini, utaona kabla hata mpira haukumfikia mpiga cross (tuisila) Wazir alikuwa tayari yupo katika offside position
Screenshot_2021-06-21-08-47-26-810_com.instagram.android.jpg
 
Ukijaribu kuangalia video kwa umakini, utaona kabla hata mpira haukumfikia mpiga cross (tuisila) Wazir alikuwa tayari yupo katika offside positionView attachment 1825153
Hapo offside imekufa baada ya tuisila kupokea mpira akiwa onside hvyo kitendo cha tuisila kupiga pasi akiwa mbele ya mabeki automanic hakuna offside.

Kwakuwa kanuni zinasema ukipokea mpira ukiwa na mpinzani mmoja either akiwa goli kipa Peke yake au umemuacha nyuma akabaki beki pekee ndo offside.

hvyo ili iwe offside bas ilipaswa tuisila apokee akiwa mbele ya wapinzani tofaut na hvyo hakuna offside
 
wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?

View attachment 1824937
Hii sio ofside maana aliyekuwa na mpira tayari alishaivunja offside na pia mfungaji yupo nyuma ya mpira.
Waziri angekuwa mbele ya mpira wakati tuisila anatoa pasi ndio angekuwa offside.
 
Hapo offside imekufa baada ya tuisila kupokea mpira akiwa onside hvyo kitendo cha tuisila kupiga pasi akiwa mbele ya mabeki automanic hakuna offside.

Kwakuwa kanuni zinasema ukipokea mpira ukiwa na mpinzani mmoja either akiwa goli kipa Peke yake au umemuacha nyuma akabaki beki pekee ndo offside.

hvyo ili iwe offside bas ilipaswa tuisila apokee akiwa mbele ya wapinzani tofaut na hvyo hakuna offside
Mkuu unaangalia mechi za nje ili nikupe mifano hai. Tuisila angefinga mwenyewe ingekuwa ni sahihi kwasababu kaupokea mpira katika onside position lakini wakati anaupokea mpira tuisila, tayari waziri junior yupo kwenye offside. Offside position inaangaliwa mtoa assist wakati anapiga mpira kwenda kwa mfungajii, je mfungaji yupo katika position ipi.
 
Ukijaribu kuangalia video kwa umakini, utaona kabla hata mpira haukumfikia mpiga cross (tuisila) Wazir alikuwa tayari yupo katika offside positionView attachment 1825153
Mchezaji hawezi kuwa offside mpaka mpira umfikie ndio anajulikana kuwa ameotea (Means Offside with Action). Ndio maana mchezaji akipewa pasi na akagundua kuwa akiucheza mpira atakuwa ameotea huwa anamwachia mchezaji mwingine mwenye uwezekano wa kuufikia mpira huo. Kwa hiyo kwa maoni yangu aliyefunga goli hakuwa offside kutokana na tafsiri ya sheria ya yenyewe ya Offside.
 
Ungeweka video ndio tungekufundisha kwani inaonekana hujui sheria ya Offside na hauko peke yako, mko wengi.

Hiyo picha imechukuliwa bila kuonyesha mazingira ya hapo awali kabla mpira haujafika hapo hivyo inaonekana wewe umeiweka ili kukidhi malengo yako ya kishabik.
 
wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?

View attachment 1824937
Nadhani wewe una tatizo...huyo Waziri alikuwa ameganda hapo??!!
 
Mchezaji hawezi kuwa offside mpaka mpira umfikie ndio anajulikana kuwa ameotea (Means Offside with Action). Ndio maana mchezaji akipewa pasi na akagundua kuwa akiucheza mpira atakuwa ameotea huwa anamwachia mchezaji mwingine mwenye uwezekano wa kuufikia mpira huo. Kwa hiyo kwa maoni yangu aliyefunga goli hakuwa offside kutokana na tafsiri ya sheria ya yenyewe ya Offside.
Naomba nikuulize maswali mawili kutokana na tukio la mpira kwenda kwa Tuisila.
1) wakati mpira unaenda kwa Tuisila, je Waziri alisimama sawaswa na mabeki wa Mwadui au alikuwa nyuma yao au alikuwa yuko mbele ya mabeki?

2)umesema mchezaji hawezi kuwa offside mpaka mpira umfikie. Haya niambie huyu Waziri hakufikiwa na mpira?
 
wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?

View attachment 1824937
UNA upeo mdogo na mambo ya kimpira, jaribu kuficha ujinga wako kwa kuto-post usiyoyajua. Tuisila alishaua offside.
 
Ungeweka video ndio tungekufundisha kwani inaonekana hujui sheria ya Offside na hauko peke yako, mko wengi.

Hiyo picha imechukuliwa bila kuonyesha mazingira ya hapo awali kabla mpira haujafika hapo hivyo inaonekana wewe umeiweka ili kukidhi malengo yako ya kishabik.
 
Kinacho sumbua hapa ni ushabiki mimi mwanzo nlihisi offside baadae nme angalia reply hakuna offside hapo
 
Huwezi kuhesabu offside mtu haja receive mpira, offside ilivunjwa na Tuislila alipo drible mpira
Mimi ni mshabiki wa Yanga lakini ukiangalia sheria ni offside ya wazi kabisa. Kwasbabu
1) ukiangalia replay ni kwmba wakati mpira upo kwa Yacouba, Yacouba anampa pasi Tuosila ukimwangalia Waziri kwenye hilo tukio alikuwa tayari yupo kwenye offside position. Tuisila anachukua mpira anampa Waziri Junior ambaye alishakuwa kwenye offside position hapo kabla na bado ana receive mpira akiwa yupo kwenye offside position
 
wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?

View attachment 1824937
Halafu mkiambiwa ni wajinga mnakasirika? Hapo offside iko wapi sasa au hata sheria yenyewe ya offside huijui?
 
Mimi ni mshabiki wa Yanga lakini ukiangalia sheria ni offside ya wazi kabisa. Kwasbabu
1) ukiangalia replay ni kwmba wakati mpira upo kwa Yacouba, Yacouba anampa pasi Tuosila ukimwangalia Waziri kwenye hilo tukio alikuwa tayari yupo kwenye offside position. Tuisila anachukua mpira anampa Waziri Junior ambaye alishakuwa kwenye offside position hapo kabla na bado ana receive mpira akiwa yupo kwenye offside position
Huwezi kuwa shabiki wa Yanga ww.
 
Mkuu unaangalia mechi za nje ili nikupe mifano hai. Tuisila angefinga mwenyewe ingekuwa ni sahihi kwasababu kaupokea mpira katika onside position lakini wakati anaupokea mpira tuisila, tayari waziri junior yupo kwenye offside. Offside position inaangaliwa mtoa assist wakati anapiga mpira kwenda kwa mfungajii, je mfungaji yupo katika position ipi.
Mimi siyo Yanga lakini acha upotoshaji, hakuna offside kwenye hilo tukio zaidi ya ushabiki.
 
Elezea hakuna offside kivipi mbona mimi natoa maelezo kwanini msipinge kwa hoja? Nataka uniambie mfungaji waziri tokea mpira upo kwa Yacouba yeye alikuwa position ipi onside au ni offside position? Toa darasa sio unasema upotoshaji halafu hautoi ufafanuzi
 
Back
Top Bottom