Goli la Waziri JR ni offside

Goli la Waziri JR ni offside

Huwezi kuwa shabiki wa Yanga ww.
Ndio kawaida yenu. Mshabiki wa Simba akiyasema mapungufu ya Simba anaambiwa sio mwanasimba ni mwanayanga. Hivyo hivyo kwa mshabiki wa Yanga akiyasema ya Yanga unaambiwa sio Yanga wewe. Sikushangai mkuu endelea na unachoamini
 
Mimi ni mshabiki wa Yanga lakini ukiangalia sheria ni offside ya wazi kabisa. Kwasbabu
1) ukiangalia replay ni kwmba wakati mpira upo kwa Yacouba, Yacouba anampa pasi Tuosila ukimwangalia Waziri kwenye hilo tukio alikuwa tayari yupo kwenye offside position. Tuisila anachukua mpira anampa Waziri Junior ambaye alishakuwa kwenye offside position hapo kabla na bado ana receive mpira akiwa yupo kwenye offside position
Hatuongelei ushabiki hapa tuna ongea fact angalia move ya mpira toka kwa Yacouba kwenda kwa Tuislila usipo elewa hapo basi sina jinsi
 
Hatuongelei ushabiki hapa tuna ongea fact angalia move ya mpira toka kwa Yacouba kwenda kwa Tuislila usipo elewa hapo basi sina jinsi
Ndio kwenye hiyo hiyo move Waziri kaanza kutangulia mbele kabla hata mpira haujamfikia Tuisila. Mpira upo kwa Yacouba lakini tayari Waziri yupo katika offside position
Screenshot_2021-06-21-10-53-50-932_com.nemo.vidmate.jpg
 
Mkuu unaangalia mechi za nje ili nikupe mifano hai. Tuisila angefinga mwenyewe ingekuwa ni sahihi kwasababu kaupokea mpira katika onside position lakini wakati anaupokea mpira tuisila, tayari waziri junior yupo kwenye offside. Offside position inaangaliwa mtoa assist wakati anapiga mpira kwenda kwa mfungajii, je mfungaji yupo katika position ipi.
Usitumie nguvu nyingi kuwaelemisha watu wasiojua mpira. Hao wanaokubishia ni mashabiki walioanza kushabikia mpira wakati wa utawala wa Kikwete ambao bado hawajui sheria za offside ila kwa sisi tunaoangalia mpira kwa zaidi ya miaka 20 sasa tunajua ile ni offside ila mwamuzi kajisahau. Matukio kama yale yanatokea sana tu hata Ulaya na huwa ni offside.
Waziri hakutakiwa kujihusisha na ile move kwasabab alikua offside wakat Yacouba anatoa pasi.
 
Mimi ni mshabiki wa Yanga lakini ukiangalia sheria ni offside ya wazi kabisa. Kwasbabu
1) ukiangalia replay ni kwmba wakati mpira upo kwa Yacouba, Yacouba anampa pasi Tuosila ukimwangalia Waziri kwenye hilo tukio alikuwa tayari yupo kwenye offside position. Tuisila anachukua mpira anampa Waziri Junior ambaye alishakuwa kwenye offside position hapo kabla na bado ana receive mpira akiwa yupo kwenye offside position
Yanga hatuna shabiki ambaye ni mbumbumbu, wewe ni mamluki tu
 
Mkuu unaangalia mechi za nje ili nikupe mifano hai. Tuisila angefinga mwenyewe ingekuwa ni sahihi kwasababu kaupokea mpira katika onside position lakini wakati anaupokea mpira tuisila, tayari waziri junior yupo kwenye offside. Offside position inaangaliwa mtoa assist wakati anapiga mpira kwenda kwa mfungajii, je mfungaji yupo katika position ipi.
Ndugu tuisila wakat anampigia wazir tayar alishavuka mabeki wa timu pinzani hivyo hakuna offside,,
Ila angekuwa hajawavuka mabeki na akatoa pasi kwenye mazingira yale ingekuwa ni offside
 
Mimi ni mshabiki wa Yanga lakini ukiangalia sheria ni offside ya wazi kabisa. Kwasbabu
1) ukiangalia replay ni kwmba wakati mpira upo kwa Yacouba, Yacouba anampa pasi Tuosila ukimwangalia Waziri kwenye hilo tukio alikuwa tayari yupo kwenye offside position. Tuisila anachukua mpira anampa Waziri Junior ambaye alishakuwa kwenye offside position hapo kabla na bado ana receive mpira akiwa yupo kwenye offside position
Aliyepewa pasi wakat huo ni wazir au tuisila?
Na kama tuisila wazir anakuaje offside?
 
Aliyepewa pasi wakat huo ni wazir au tuisila?
Na kama tuisila wazir anakuaje offside?
Sheria ya offside unashindwa kuitafsiri mkuu.
Ni hivi Waziri anakuwa offside kwasababu ni mchezaji anayeuingilia mpira wakati alikuwa katika offside position hapo kabla. kama ni mpenzi wa mpira utanielewa vyema ila kama ni mshabiki wa timu hautonielewa.

Mechi ya uefa kati ya Man City na Tottenham, Aguero alifuanga goli kwa mazingira kama hayo hayo ya Waziri Junior na goli lilikataliwa kwasababu kabla hata mpira haujaenda kwa mtoa assist, tayari Aguero alikuwa katika offside position.
IMG_20210621_150426.jpg
IMG_20210621_101808.jpg
 
Ndio kwenye hiyo hiyo move Waziri kaanza kutangulia mbele kabla hata mpira haujamfikia Tuisila. Mpira upo kwa Yacouba lakini tayari Waziri yupo katika offside positionView attachment 1825323
Acha kupotosha ndugu.

Offside inapimwa kwenye mstari mnyoofu....yaani itumike kamera ya sideline na sio kamera kuu ya matangazo.

Picha yako inaonesha broadcasting camera na sio sideline.
 
Sheria ya offside unashindwa kuitafsiri mkuu.
Ni hivi Waziri anakuwa offside kwasababu ni mchezaji anayeuingilia mpira wakati alikuwa katika offside position hapo kabla. kama ni mpenzi wa mpira utanielewa vyema ila kama ni mshabiki wa timu hautonielewa.

Mechi ya uefa kati ya Man City na Tottenham, Aguero alifuanga goli kwa mazingira kama hayo hayo ya Waziri Junior na goli lilikataliwa kwasababu kabla hata mpira haujaenda kwa mtoa assist, tayari Aguero alikuwa katika offside position. View attachment 1825465View attachment 1825466
Bado.

Picha ya Waziri iwe nyoofu na mshika kibendera.Hapo ndipo utaona Waziri au hapana.
 
Hii si offside, japo utopolo wameshinda kwa mbindi
 
Kabla ya kufungwa hilo goli kulikuwa na offside nyingi refa anaacha lakini mabeki wa mwadui nao kama walikuwa wanaitafutia yanga goli la kusawazisha.
 
Naomba nikuulize maswali mawili kutokana na tukio la mpira kwenda kwa Tuisila.
1) wakati mpira unaenda kwa Tuisila, je Waziri alisimama sawaswa na mabeki wa Mwadui au alikuwa nyuma yao au alikuwa yuko mbele ya mabeki?

2)umesema mchezaji hawezi kuwa offside mpaka mpira umfikie. Haya niambie huyu Waziri hakufikiwa na mpira?
Sheria ya Offside hii hapa. Isome vizuri Mkuu;

Offside is one of the laws of association football, codified in Law 11 of the Laws of the Game. The law states that a player is in an offside position if any of their body parts, except the hands and arms, are in the opponents' half of the pitch, and closer to the opponents' goal line than both the ball and the second-last opponent (the last opponent is usually, but not necessarily, the goalkeeper).[1]

Being in an offside position is not an offence in itself, but a player so positioned when the ball is played by a team-mate can be judged guilty of an offside offence if they receive the ball or otherwise become "involved in active play", "interfere with an opponent", or "gain an advantage" by being in that position.
 
wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?

View attachment 1824937
Kwa kifupi huijui sheria ya offside kikamilifu...

Inapotokea hali kama hiyo, mchezaji atakuwa kwenye offside position kama atakuwa mbele ya mpiga assist.

Waziri Junior yuko nyuma ya mpiga assist au kwa maneno nyuma ya mpira. Kwa hiyo hajazidi.
 
wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?

View attachment 1824937
Mleta mada Kama kweli una idea na sheria ya offside tuambie Nani yupo offside hapo
 
Mbona anayepiga cross yupo mbele ya mfungaji? Au mimi ndiye mwenye makengeza?
Katazame video picha hutoielewa
Wakati Kisinda anapokea mpira waziri alikuwa offside yaani alikuwa mbele ya mabeki tayari ,wajati Kisinda anadribble waziri alisogea mstari wa mbele kabisa yaani akawa mbele ya mtoa pasi jambo ambalo bado linamfanya kuwa offside .Kwa picha hapo utasema Tuisila alitoa pasi muda huo Waziri yupo nyuma yake but kwenye video haipo hivyo
 
Back
Top Bottom