Sheria ya offside unashindwa kuitafsiri mkuu.
Ni hivi Waziri anakuwa offside kwasababu ni mchezaji anayeuingilia mpira wakati alikuwa katika offside position hapo kabla. kama ni mpenzi wa mpira utanielewa vyema ila kama ni mshabiki wa timu hautonielewa.
Mechi ya uefa kati ya Man City na Tottenham, Aguero alifuanga goli kwa mazingira kama hayo hayo ya Waziri Junior na goli lilikataliwa kwasababu kabla hata mpira haujaenda kwa mtoa assist, tayari Aguero alikuwa katika offside position.
View attachment 1825465View attachment 1825466