Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Ukijaribu kuangalia video kwa umakini, utaona kabla hata mpira haukumfikia mpiga cross (tuisila) Wazir alikuwa tayari yupo katika offside positionHapo offside hakuna mkuu. Ukiangalia kupitia video mtoa pasi hakupokea na kutoa pasi moja kwa moja (hapo ingekuwa offside), ila alipokea halafua ameburuza mpira. Walichokosea mabeki wa Mwadui ni kusimama badala ya kumkaba Waziri Junior. Vilevile kwenye move namna hiyo usitegemee kucheza offside trick. Hili ni sawa na goli walilofungwa Prisons na Simba (goli la kusawazisha) hapo hapo kwa Mkapa.