VAR hatuna?wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?
View attachment 1824937
Ingependeza kama ungeweka video.Katazame video picha hutoielewa
Wakati Kisinda anapokea mpira waziri alikuwa offside yaani alikuwa mbele ya mabeki tayari ,wajati Kisinda anadribble waziri alisogea mstari wa mbele kabisa yaani akawa mbele ya mtoa pasi jambo ambalo bado linamfanya kuwa offside .Kwa picha hapo utasema Tuisila alitoa pasi muda huo Waziri yupo nyuma yake but kwenye video haipo hivyo
Mkuu hapo hiyo pasi aliyopewa kisinda angepewa moja kwa moja wazir jr ndo angekua offsideKatazame video picha hutoielewa
Wakati Kisinda anapokea mpira waziri alikuwa offside yaani alikuwa mbele ya mabeki tayari ,wajati Kisinda anadribble waziri alisogea mstari wa mbele kabisa yaani akawa mbele ya mtoa pasi jambo ambalo bado linamfanya kuwa offside .Kwa picha hapo utasema Tuisila alitoa pasi muda huo Waziri yupo nyuma yake but kwenye video haipo hivyo
Mkuu goli la Yanga ni halali kabisa...Kama ni offside haya tuambie Nani yupo offsides paleTakataka huwezi kuwasikia wakiongelea hili goli ila ingekuwa Simba kafunga goli kama hilo ungewsikia wiki nzima wakilizungumzia.
unabishana hadi na videoMkuu goli la Yanga ni halali kabisa...Kama ni offside haya tuambie Nani yupo offsides pale
Mkuu jibu swali Nani yupo offside?unabishana hadi na video
angalia videoMkuu jibu swali Nani yupo offside?
Mkuu video Nimeangalia na hakuna offside yoyote pale wewe unaesema ni offside tuambie Nani yupo offsideangalia video
Nadhani jana kulikuwa na "Catalyst" maana sio kwa mashuti yale.