THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Na hata kelele zilikuwa nyingi kwamba Fei apewe kiatu cha ufungaji bora, watulie.Kwani si inasemwa tuwathamini wazawa kwamba tumpe MVP fei toto. Sasa wameanza kuthamini wazawa hapo.
Kweli kabisa mkuuMan of the Match huwa hajiangushi angushi na kupoteza muda hadi anapewa kadi ya njano
Kwa maelezo haya bila shaka huna rinder, ukibisha njoo na hoja!Alie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI,MUDATHIRI na BACCA.
Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Dada uko na mahaba na uyu jamaaHuyo kipa kweli yupo vizuri! Nilimpigia salute alivyodaka hadi mpira wa Guede wangu🤸
Dunduka umeumia sanaAlie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI,MUDATHIRI na BACCA.
Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Punguza mKasiriko dunduka miksa mbumbumbuNilisema utopolo de majini walikua wanaandaliwa mazingira ya kushinda kombe..man of match wamempa mzanzibar sababu ya siasa na kubebwa tu.
Uko sahihi, inaitwa kizungu 'winner takes all!!).Man of the match kwenye final hapewi alioshindwa jifunzen soka
hili liko wazi kabisa na wala halina ubishi basi tuu tunaletaka siasa kwenye mchezo wa wazi.Alie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI,MUDATHIRI na BACCA.
Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
basi angepewa diara maana ndio kawapa yanga ubingwaMan of the match kwenye final hapewi alioshindwa jifunzen soka
Unaemuita humjui Kolo labda umekuja leo jukwaa la Michezo.Uko sahihi, inaitwa kizungu 'winner takes all!!).
Baka alizuia Azam wasipige zaidi ya shuti moja kwa dkk 120 na alicheza akiwa na maumivu ya misuli. Alistahili ile tuzo. Mustapha tunamsifu ila ubora wake ulitokana na uzembe wa mabeki kitu ambacho Baka hakukubali kitokee kwa Diarra!!
Makolo acheni nongwa jumba lenu bovu mnamuangushia kila mtu hebu endeleeni kupendeza na nafasi yenu ya tatu na fursa ya kucheza ndondo cup aina ya shirikisho!!
FactoNilisema utopolo de majini walikua wanaandaliwa mazingira ya kushinda kombe..man of match wamempa mzanzibar sababu ya siasa na kubebwa tu.
Endelea kuja jukwaa la michezo utajua mi sio dunduka.Dunduka umeumia sana