Golikipa wa Azam ndie alistahili kuwa Man of the Match ila kapewa BACCA kwa sababu imepangwa iwe kwa Mzanzibar

Tukiachana na mpira kama mtu unafuatilia mpira kwa muda kidogo sidhani kama tuzo ya jana MOTM inaweza kuwa mjadala kwamba Bacca hakustahili. Sina hakika kwa nyote mnao doubt kama mnafuatilia mpira kwa umakini achilia mbali kuujua. Sina hakika
 
Kumbe huyo kipa ameisadia timu yake kubeba ilo kombe!

Kwanza ile panalti ya Aziz Ki ilipaswa irudiwe sababu kipa wa Azam alitoka kwenye mstari kabla ya mpira kupigwa.
 
Sema ukweli yule kipa wa Azam ameokoa magoli mangapi.....tena ya wazi.....mpira ulikuwa unakwisha ndani ya dk 90.
Mengi (4 saves na penalty 2) lakini pia ndie aliongoza kwa kupoteza muda na kusababisha mechi kusimama
Alipaswa kuwa na nidham ya mchezo
 
Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.

Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.

Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA.

Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Ile haikua ligi ni mechi ya mtoano,,,kama azam wangekua wamefunga goli kisha yeye akafanya saves na zikasaidia kupata ushindi hapo angestahili kuwa man of the match....
Kwa kifupi azam angeshinda ile mechi kwenye hatua ile ya penalt isingewezekana bacca awe man of the match.
 
Man of the match kwenye fainali huwa anapewa mchezaji ambae amechukua ubingwa, rejea fainali ya world cup jinsi mbappe alivyoibeba ufaransa yeye binafsi ila bado man of the match akapewa Messi ambaye hakuwa na impact kubwa kama aliyokua nayo Mbappe upande wa ufaransa.
 
Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.

Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.

Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA.

Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Labda mchezaji bora anatoka timu iliyoshinda
 
Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.

Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.

Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA.

Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Uto wote watakukatalia that’s the fact
 
Naunga mkono hoja Baka alipaswa ila Man of the match huwa hatoki kwenye timu iliyoshindwa labda kama mchezaji amefanya mambo ya ziada kuliko inavyotarajiwa. Alichofanya kipa wa AZAM ni katimiza wajibu wake kama golikipa unless kama angefanya kitu special nje ya uwezo wa kawaida wa golikipa.... alichofanya kuokoa mikwaju iliyokuwa inaelekea golini kimsingi ndo kazi yake iliyomuweka pale
 
Ufafanuzi mzuri sana, umsaidie muanzisha thread na wale wenye mawazo kama yake.
 
Back
Top Bottom