Golikipa wa Azam ndie alistahili kuwa Man of the Match ila kapewa BACCA kwa sababu imepangwa iwe kwa Mzanzibar

Golikipa wa Azam ndie alistahili kuwa Man of the Match ila kapewa BACCA kwa sababu imepangwa iwe kwa Mzanzibar

Alie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.

Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.

Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI,MUDATHIRI na BACCA.

Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Uko sahihi
 
Asingekua yule golikipa jana ungelala saa 6?
Alifanya save nne
Aliongoza kwa kupoteza muda hadi kupewa Yellow card
Bacca kafanya talking za hatari 3 kafanya interceptions,kafanya blocking na aerial ball kashinda ndio maana Diara hakupata vitisho vikubwa golini
Kwa msimu huu wote ikiwemo Jana mchango wa Bacca ni undisputed
 
hawajapiga nyingi!lakn aliewafanya wao kufikisha dk hadi matuta ni kipa wao!so alikua ktk kiwango bora sana!
Kipa alikuwa katika kiwango kama Bacca alivyokuwa kwenye kiwango kumbuka Azam alianza na washambuliaji wengi
Fei,Silla,Soup,lakini Bacca aliwazuia
 
Umeangalia vigezo vya Mtu kuwa Man of the Match?
Au umeandika tu kufurahisha genge mdau?
Toeni vigezo vyenu tuvionè maana nyie bongo kila kitu mnavigezo vyenu tu tofauti na ulimwengu wote.
 
Alifanya save nne
Aliongoza kwa kupoteza muda hadi kupewa Yellow card
Bacca kafanya talking za hatari 3 kafanya interceptions,kafanya blocking na aerial ball kashinda ndio maana Diara hakupata vitisho vikubwa golini
Kwa msimu huu wote ikiwemo Jana mchango wa Bacca ni undisputed
Ukisema Diarra hakupata hatari yoyote jua tu beki yote ya yanga ilikua vizur na Team nzima kwenye kukaba ndio maana utaona Azam walikua hawawez kuvuka kati mara nyingi na Yanga walikua wanachezea zone ya Azam mara nyingi.
Azam walikuawamezidiwa kati ila baada ya kuongia yule mgana ndio wakaanza kuwasumbua yanga kati...ila kusema sijui baka alifanya hayo ni uongo mtupu Bacca alicheza kiungo swali jepesi tu ni NO na Azam jana First halaf na second zote walizidiwa kati so mipira yao ilikua haipiti.ndi9 maana walikua hawafiki zone ya Yanga.
 
Alifanya save nne
Aliongoza kwa kupoteza muda hadi kupewa Yellow card
Bacca kafanya talking za hatari 3 kafanya interceptions,kafanya blocking na aerial ball kashinda ndio maana Diara hakupata vitisho vikubwa golini
Kwa msimu huu wote ikiwemo Jana mchango wa Bacca ni undisputed
Unapoteza muda mkuu kuelimisha mbumbumbu yenyewe waga hayatazami mpira bali matukio na muda mwingi yanawaza kukimbilia hapa jukwaani kuanzisha nyuzi upupu..
Yasome kwanza kanuni zinazopelekea kupatikana kwa man of the match kwenye michezo ya fainali..
 
Toeni vigezo vyenu tuvionè maana nyie bongo kila kitu mnavigezo vyenu tu tofauti na ulimwengu wote.
Aisee umechekesha sana hapo.

Ulishaona wapi Man of the Match ana yellow card?
Ulishaona wapi Man of the Match team yake imeshindwa?

mbona ni logic ndogo tu hiyo mdau?

Au hujui maana ya man of the Match?
 
Nashindwa kuwaelewa watu kwa Nini hawajaona kazi aliyopiga Bacca Jana imagine Diara alikuwa holiday akidaka mipira nyepesi sana kwa dk 120 na hakufanya foul ndani ya 18 Wala nje ya 18 no card halafu watu wanataka mtu aliyekuwa anaongoza kwa kupoteza mda apewe man of the match tena akiwa na card yes alikuwa na good game ila man of the match hapana
Sema ukweli yule kipa wa Azam ameokoa magoli mangapi.....tena ya wazi.....mpira ulikuwa unakwisha ndani ya dk 90.
 
Aisee umechekesha sana hapo.

Ulishaona wapi Man of the Match ana yellow card?
Ulishaona wapi Man of the Match team yake imeshindwa?

mbona ni logic ndogo tu hiyo mdau?

Au hujui maana ya man of the Match?
Fatilia Match ya Man united na Chesii msimu huu ile ya 4-3 Man of the Match alikua nani na alikuaje fatiliela we Mtu wa magazeti.
 
Fatilia Match ya Man united na Chesii msimu huu ile ya 4-3 Man of the Match alikua nani na alikuaje fatiliela we Mtu wa magazeti.
Screenshot_20240603-172328~2.png
 
Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.

Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.

Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA.

Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Nikweli labda kwavile tulikuwa tunaangalia kwenye tv
 
Back
Top Bottom