Golikipa wa Azam ndie alistahili kuwa Man of the Match ila kapewa BACCA kwa sababu imepangwa iwe kwa Mzanzibar

Yes naungana na wewe angekua yule kipa wao no moja yanga tungemaliza mchezo mapema sana tena kwa goal nyingi
 
Nashindwa kuwaelewa watu kwa Nini hawajaona kazi aliyopiga Bacca Jana imagine Diara alikuwa holiday akidaka mipira nyepesi sana kwa dk 120 na hakufanya foul ndani ya 18 Wala nje ya 18 no card halafu watu wanataka mtu aliyekuwa anaongoza kwa kupoteza mda apewe man of the match tena akiwa na card yes alikuwa na good game ila man of the match hapana
 
Jana Azam wangeuza kadi za uanachama, wangewapata wanachama wengi sana toka umakoloni
 
Achana na kushabikia mpira tafuta mchezo mwingine hata wa kibaba na kimama ulishaona wapi kwenye fainali man of the match anapewa mchezaji wa timu iliyoshindwa kwamba kaisaidia kwenye kua ya pili ama jifunze mpira mbumbumbu..
Mbumbumbu wenzako wanakusupport kwamba umetema madini umbumbumbu ni kazi ngumu sana..
 
INDEED!mm ni mshabiki wa YANGA, ila Bacca hakustahili!Man of the match nakubaliana na ww alitakiwa awe kipa wa azam.
 
INDEED!mm ni mshabiki wa YANGA, ila Bacca hakustahili!Man of the match nakubaliana na ww alitakiwa awe kipa wa azam.
Sure Mkuu.. wasikilize hata Hersi wakat anahoniwa alisema kabisa yule jamaa nampongeza.
 
Nenda jukwaa na La Mapenzi ukapate Tunda kimasihara..huku sio kwako
 
Asingekua yule golikipa jana ungelala saa 6?
 
Umeangalia vigezo vya Mtu kuwa Man of the Match?
Au umeandika tu kufurahisha genge mdau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ