Uko sahihiAlie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI,MUDATHIRI na BACCA.
Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
sawaMimi shabiki wa Azam ila jana Bacca alistahili kupewa man of the match.
Azam walipiga on target ngapi golini kwa yanga!?INDEED!mm ni mshabiki wa YANGA, ila Bacca hakustahili!Man of the match nakubaliana na ww alitakiwa awe kipa wa azam.
Alifanya save nneAsingekua yule golikipa jana ungelala saa 6?
hawajapiga nyingi!lakn aliewafanya wao kufikisha dk hadi matuta ni kipa wao!so alikua ktk kiwango bora sana!Azam walipiga on target ngapi golini kwa yanga!?
Kilichomkosti huyo kipa ni kupoteza muda mpaka refa kumchapa na kadi, vinginevyo angetulia hadi mwisho angekuwa yeye.
Kipa alikuwa katika kiwango kama Bacca alivyokuwa kwenye kiwango kumbuka Azam alianza na washambuliaji wengihawajapiga nyingi!lakn aliewafanya wao kufikisha dk hadi matuta ni kipa wao!so alikua ktk kiwango bora sana!
Toeni vigezo vyenu tuvionè maana nyie bongo kila kitu mnavigezo vyenu tu tofauti na ulimwengu wote.Umeangalia vigezo vya Mtu kuwa Man of the Match?
Au umeandika tu kufurahisha genge mdau?
Kiboya MnooSio refa sema mdau wa yanga, yule jamaa kafanya saves zaidi ya sita kasave penati mbili unampa bacca ambaye hakua na mchezo mzuri soka letu la kiboya
Exactlyhawajapiga nyingi!lakn aliewafanya wao kufikisha dk hadi matuta ni kipa wao!so alikua ktk kiwango bora sana!
Ukisema Diarra hakupata hatari yoyote jua tu beki yote ya yanga ilikua vizur na Team nzima kwenye kukaba ndio maana utaona Azam walikua hawawez kuvuka kati mara nyingi na Yanga walikua wanachezea zone ya Azam mara nyingi.Alifanya save nne
Aliongoza kwa kupoteza muda hadi kupewa Yellow card
Bacca kafanya talking za hatari 3 kafanya interceptions,kafanya blocking na aerial ball kashinda ndio maana Diara hakupata vitisho vikubwa golini
Kwa msimu huu wote ikiwemo Jana mchango wa Bacca ni undisputed
Unapoteza muda mkuu kuelimisha mbumbumbu yenyewe waga hayatazami mpira bali matukio na muda mwingi yanawaza kukimbilia hapa jukwaani kuanzisha nyuzi upupu..Alifanya save nne
Aliongoza kwa kupoteza muda hadi kupewa Yellow card
Bacca kafanya talking za hatari 3 kafanya interceptions,kafanya blocking na aerial ball kashinda ndio maana Diara hakupata vitisho vikubwa golini
Kwa msimu huu wote ikiwemo Jana mchango wa Bacca ni undisputed
Aisee umechekesha sana hapo.Toeni vigezo vyenu tuvionè maana nyie bongo kila kitu mnavigezo vyenu tu tofauti na ulimwengu wote.
Ila anakosa penati 😀 😀Man of the Match huwa hajiangushi angushi na kupoteza muda hadi anapewa kadi ya njano
Sema ukweli yule kipa wa Azam ameokoa magoli mangapi.....tena ya wazi.....mpira ulikuwa unakwisha ndani ya dk 90.Nashindwa kuwaelewa watu kwa Nini hawajaona kazi aliyopiga Bacca Jana imagine Diara alikuwa holiday akidaka mipira nyepesi sana kwa dk 120 na hakufanya foul ndani ya 18 Wala nje ya 18 no card halafu watu wanataka mtu aliyekuwa anaongoza kwa kupoteza mda apewe man of the match tena akiwa na card yes alikuwa na good game ila man of the match hapana
Fatilia Match ya Man united na Chesii msimu huu ile ya 4-3 Man of the Match alikua nani na alikuaje fatiliela we Mtu wa magazeti.Aisee umechekesha sana hapo.
Ulishaona wapi Man of the Match ana yellow card?
Ulishaona wapi Man of the Match team yake imeshindwa?
mbona ni logic ndogo tu hiyo mdau?
Au hujui maana ya man of the Match?
Waachen wanasahau kisa wamebeba ubingwa na kisa katoka kwaoSema ukweli yule kipa wa Azam ameokoa magoli mangapi.....tena ya wazi.....mpira ulikuwa unakwisha ndani ya dk 90.
Fatilia Match ya Man united na Chesii msimu huu ile ya 4-3 Man of the Match alikua nani na alikuaje fatiliela we Mtu wa magazeti.
Nikweli labda kwavile tulikuwa tunaangalia kwenye tvAlieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA.
Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.