Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mengi (4 saves na penalty 2) lakini pia ndie aliongoza kwa kupoteza muda na kusababisha mechi kusimamaSema ukweli yule kipa wa Azam ameokoa magoli mangapi.....tena ya wazi.....mpira ulikuwa unakwisha ndani ya dk 90.
Ile haikua ligi ni mechi ya mtoano,,,kama azam wangekua wamefunga goli kisha yeye akafanya saves na zikasaidia kupata ushindi hapo angestahili kuwa man of the match....Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA.
Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Huna kumbukumbu nzuriFatilia Match ya Man united na Chesii msimu huu ile ya 4-3 Man of the Match alikua nani na alikuaje fatiliela we Mtu wa magazeti.
Labda mchezaji bora anatoka timu iliyoshindaAlieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA.
Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Uto wote watakukatalia that’s the factAlieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA.
Ila all in all BACCA hajastahili sisemei kisa kukosa penati ila kwa namna game ilivyokua.
Unataka kusemaje hapa?Fatilia Match ya Man united na Chesii msimu huu ile ya 4-3 Man of the Match alikua nani na alikuaje fatiliela we Mtu wa magazeti.
Ufafanuzi mzuri sana, umsaidie muanzisha thread na wale wenye mawazo kama yake.Naunga mkono hoja Baka alipaswa ila Man of the match huwa hatoki kwenye timu iliyoshindwa labda kama mchezaji amefanya mambo ya ziada kuliko inavyotarajiwa. Alichofanya kipa wa AZAM ni katimiza wajibu wake kama golikipa unless kama angefanya kitu special nje ya uwezo wa kawaida wa golikipa.... alichofanya kuokoa mikwaju iliyokuwa inaelekea golini kimsingi ndo kazi yake iliyomuweka pale