nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,607
- 8,381
Kuua waue polisi kukamatwa wakamatwe wengine. Mimi nadhani meza ya maridhiano ndio tiba ya hili linaloendelea.Safi
Lakini hii kutishana, kwangu haina afya
Kuua waue polisi kukamatwa wakamatwe wengine. Mimi nadhani meza ya maridhiano ndio tiba ya hili linaloendelea.Safi
Umeshiba kitimotoKazi nzuri.
Huyu sio dikteta uchwara ni more than dikteta.Safi
Acheni upuuzi wenu nyie kuona vifo ni vitu vya kawaida. Badala ya kujenga mnazidi kubomoa. Hiyo mitutu mnayoulia watanzania ndicho mlichoapa kufanya?Kaandamane wewe Mwalimu fake.
Dada umependeza!Acheni upuuzi wenu nyie kuona vifo ni vitu vya kawaida. Badala ya kujenga mnazidi kubomoa. Hiyo mitutu mnayoulia watanzania ndicho mlichoapa kufanya?
Badala ya kutafuta kuliunganisha taifa, nyie mmebaki kuwa machawa mnaomuharibia rais
Umependeza dada!Kuua waue polisi kukamatwa wakamatwe wengine. Mimi nadhani meza ya maridhiano ndio tiba ya hili linaloendelea.
Lakini hii kutishana, kwangu haina afya
Huyu sio dikteta uchwara ni zaidi ya dikteta.Serikali ya dictator uchwara 🤡
Vipi bado unataka kuandamana?Huyu sio dikteta uchwara ni zaidi ya dikteta.
Hujielewi mpuuzi wewe.Umependeza dada!
Unauliza mawimbi baharini.Vipi bado unataka kuandamana?
Safi
Kaandamane wewe Mwalimu fake.
Mimi naomba haki imtendee haki kwa namna alivyoleta madhara katika taifa.
Ni hivi, hao mnaowakamata wakamateni sana. Ila siku ya uchaguzi wananchi wamesema kwa vitendo hawawataki. Maandamano yalihitimisha tu sauti ya umma. Hicho mnachofanya ni kuficha aibu na kupunguza hasira ya kukataliwa na wananchi. Na maandamano ya siku za mbeleni lazima tushike silaha. Hamtaweza kutawala watu tena kwa shuruti. Hatuwataki, ujumbe huo ufike kwa upana wake.Kazi nzuri.
Wanachi kutoka twita, JF, fesibuku na insitagilamu. Hao unowazungumzia ni wananchi hewa. Hakuna uraia kwenye social media.Ni hivi, hao mnaowakamata wakamateni sana. Ila siku ya uchaguzi wananchi wamesema kwa vitendo hawawataki. Maandamano yalihitimisha tu sauti ya umma. Hicho mnachofanya ni kuficha aibu na kupunguza hasira ya kukataliwa na wananchi. Na maandamano ya siku za mbeleni lazima tushike silaha. Hamtaweza kutawala watu tena kwa shuruti. Hatuwataki, ujumbe huo ufike kwa upana wake.
Hatupo mbali na M23 yalianza hivihivi hatimae watu watatafuta njia mbadala, kisha tutarudi kulaumiana.Mimi naomba haki imtendee haki kwa namna alivyoleta madhara katika taifa.
Kweli bado sijakuwa nataka unikuze pia nipate pa kukojolea!! 🤣🤣Hujielewi mpuuzi wewe.
Nyie ndio mliozoea kunyonya damu za watu. Ndio maana hata hoja huna.
Mimi nazungumzia suala la maana, unaleta upumbavu wako hapa.
Kakojoe ukalale maana bado hujakua
Hizo zilikuwa weak government. Usitufananishe na mambo ya kijingaHatupo mbali na M23 yalianza hivihivi hatimae watu watatafuta njia mbadala, kisha tutarudi kulaumiana.
Bado hawataweza kunyamazisha saut ya mapambanoAMANI Golugwa, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bara, amekamatwa na jeshi la polisi, akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. ikumbukwe kuwa jeshi la polisi hapo jana lilitangaza msako wa kuwatafuta viongozi wa chama hicho.
Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi
Chanzo Mwanahalisi
Kumbe unataka kushika silaha!!? Basi mimi sitakuweza mimi sijui kushika hata manati.Ni hivi, hao mnaowakamata wakamateni sana. Ila siku ya uchaguzi wananchi wamesema kwa vitendo hawawataki. Maandamano yalihitimisha tu sauti ya umma. Hicho mnachofanya ni kuficha aibu na kupunguza hasira ya kukataliwa na wananchi. Na maandamano ya siku za mbeleni lazima tushike silaha. Hamtaweza kutawala watu tena kwa shuruti. Hatuwataki, ujumbe huo ufike kwa upana wake.