President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Tunakubaliana kuwa strong Nations kills?Marekani sio kama huko Tanganyika
Tunakubaliana kuwa strong Nations kills?Marekani sio kama huko Tanganyika
Hilo liwe fundisho siku zingine. Mkisusia msidhani kuwa maisha hayaendelei. Na bunge likianza tunatunga sheria ya kuwanyonga wote bila kusikilizwa waliharibu miundombinu ya TanzaniaMmeaibika vibaya juzi, kama mlikuwa hamuamini kuwa hamkubaliki, basi sasa mmefahamu vyema.
Hiyo siyo kweliTunakubaliana kuwa strong Nations kills?
Weka ukweli na case study iwe USA, Russia na ChinaHiyo siyo kweli
Serikali dhaifu inauwa raia, kuvunja Katiba na kuhujumu uchaguzi.
Wazanzibar wanauwa Watanganyika kama kuku
Shika silaha hata leo Nyumbu weweNi hivi, hao mnaowakamata wakamateni sana. Ila siku ya uchaguzi wananchi wamesema kwa vitendo hawawataki. Maandamano yalihitimisha tu sauti ya umma. Hicho mnachofanya ni kuficha aibu na kupunguza hasira ya kukataliwa na wananchi. Na maandamano ya siku za mbeleni lazima tushike silaha. Hamtaweza kutawala watu tena kwa shuruti. Hatuwataki, ujumbe huo ufike kwa upana wake.
Maridhiano na wauaji? Usiogope boss nguvu ya umma italeta haki katika nchii, trust the process.Kuua waue polisi kukamatwa wakamatwe wengine. Mimi nadhani meza ya maridhiano ndio tiba ya hili linaloendelea.
Lakini hii kutishana, kwangu haina afya
Hakuna serikali popote itakuwa raia wakeWeka ukweli na case study iwe USA, Russia na China
Umeshiba kitimotoShika silaha hata leo Nyumbu wewe
Wewe ***** serikali hairuhusu kutumia JF, kwa nini unaenda kinyume na matakwa ya serikali?Shika silaha hata leo Nyumbu wewe
Wewe ni mtoto mdogo unajadili kwa emtions. soma kuhusu: Moscow Theater Hostage Crisis uone wale Chechen walifumuliwa tena kwa mabom siyo hizi rasha rasha.Hakuna serikali popote itakuwa raia wake
Russia hawawezi kushambulia raia
China hivo
Hii ni agenda tu ya Mzanzibar kuuwa Watanganyika
Uliza wale waliokuwa wanipinga Russia wakijadai wapo UK russia hawezi kuwafikia, waligongwa Polonium, kimya kimya.Hakuna serikali popote itakuwa raia wake
Russia hawawezi kushambulia raia
China hivo
Hii ni agenda tu ya Mzanzibar kuuwa Watanganyika
Wanafedha za kuchezea kulisha watu, kuwasafirisha huko na kule.Serikali ya dictator uchwara 🤡
Nimekwambia serikali imara inalinda watu wakeWewe ni mtoto mdogo unajadili kwa emtions. soma kuhusu: Moscow Theater Hostage Crisis uone wale Chechen walifumuliwa tena kwa mabom siyo hizi rasha rasha.
Usione Nchi kubwa zimetulia, watu waligongwa risasi, mpaka leo wanaogopa mambo hayo yasitokee.
Inalinda watu wake wanaoheshimu Katiba na sheria za nchi. Lakini wale wanaocha vituo vya mwendo kasi ni kudungwa njugu tu.Nimekwambia serikali imara inalinda watu wake
Kama unajiamini mtuke raia wa Russia hata nusu saa uone
Sema Tanganyika tumewapa madaraka Wazanzibar ili waue vijana wetu
Taarifa ya Polepole ilishatokaga zamani sana. Au wewe ni mkenya uliyekuja kuchoma vituo vya mwendo kasi Tanzania ili tufanane na nyie?Je Humphrey Polepole yeye hahitakiki kituo cha polisi au tayari wanae central?
Na wale wanaouza bandari, NgorongoroInalinda watu wake wanaoheshimu Katiba na sheria za nchi. Lakini wale wanaocha vituo vya mwendo kasi ni kudungwa njugu tu.