Wanapanda mbegu mbaya sana katika mioyo ya watu. Hii mbegu ikiota na kumea itakuwa hatariHatupo mbali na M23 yalianza hivihivi hatimae watu watatafuta njia mbadala, kisha tutarudi kulaumiana.
Kazi nzuri.
Sasa wameletaje vurugu hadi risasi za moto zikatumika ilhàli wako tweeter na fesibuku?Wanachi kutoka twita, JF, fesibuku na insitagilamu. Hao unowazungumzia ni wananchi hewa. Hakuna uraia kwenye social media.
NI mpumbavu pekee anaweza amini maneno yako haya. Unazijua sheria za kimataifa au unabwabwaja tu?Na wale wanaouza bandari, Ngorongoro
Mafisadi, watekaji wanafanywaje?
Wametoka Kenya walijifanya wataliiSasa wameletaje vurugu hadi risasi za moto zikatumika ilhàli wako tweeter na fesibuku?
Sheria zipo kwamba Watanganyika hawatekwi au hakuna ufisadiNI mpumbavu pekee anaweza amini maneno yako haya. Unazijua sheria za kimataifa au unabwabwaja tu?
Zipo wapi?Sheria zipo kwamba Watanganyika hawatekwi au hakuna ufisadi
Ujingaujinga mtupu na matumizi ya pesa za umma hovyo.Wametoka Kenya walijifanya watalii
Unalipa kodi? Kama hulipi nenda kanyeUjingaujinga mtupu na matumizi ya pesa za umma hovyo.
Tanganyika haijawahi ku exist nijina liliundwa na watu wa pwani kutoka Tanga, bali kulikuwa na hiki hapa.Sheria zipo kwamba Watanganyika hawatekwi au hakuna ufisadi
Kwaiyo hujui kuwa Watanganyika wanatekwa na kuuliwaZipo wapi?