GE2025 Golugwa akamatwa na jeshi la polisi nyumbani kwake Dar

GE2025 Golugwa akamatwa na jeshi la polisi nyumbani kwake Dar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ww labda, sisi hadi tupate mabadiliko, na sio ombi bali ni lazima hata kwa umwagaji mkubwa wa damu.
Kwanini wewe hujitokezi mbele ili na wewe ukipate cha mtema kuni kama ambavyo walivyopata wenzako?
 
Kwanini wewe hujitokezi mbele ili na wewe ukipate cha mtema kuni kama ambavyo walivyopata wenzako?
Uje ukae mbele ww ili unipe hicho cha mtema kuni.
 
mpaka nchi irudi kwenye mstari
"Nchi irudi kwenye mstari". Baada ya yote haya yaliyo fanyika?
Nani airudishe kwenye mstari, Samia?
Na CCM kama chama kirudi mahala pake?

Sina shaka yoyote kuwa mategemeo yako yapo kwenye miujiza!

"Nchi kurudi kwenye mstari" maana yake ni nini?
 
we jamaa kumbe upo, 😂😂😂 nlijua ushachezea shaba za kipara maaana mbishi sana
 
Tarehe 9/12/2025 tutoke tuwaonyeshe inawezekana, tutaanza asubuhi.
 
Kuua waue polisi kukamatwa wakamatwe wengine. Mimi nadhani meza ya maridhiano ndio tiba ya hili linaloendelea.

Lakini hii kutishana, kwangu haina afya
Umeanza vizuri ukamaluza vibaya.
Kuua wauwe Polisi, kwanini wao hawakamatwi?

Tanzania Investigation Bureau wana wajibu kufanya utafiti wa bunduki zilizotumika na kama ni mali yao na waliomilikishwa wakamatwe washitakiwe.

Hakuna maridhiano ikiwa wauwaji hawajawa neutralized, tunataka uchunguzi huru na wa kina na wahusikakuanzia mwenyekiti wa ccm taifa wakamatwe kwa kutoa amri za kuuwa raia huru.

Hakuna kuridhiana na muuaji.
 
Hiyo mitutu ya bunduki inayowapa kiburi ndiyo itakayo wamaliza wenyewe.
Upo hapa ukijiona salama sana wakati huna lolote.
we si unajikutaga shujaaa, alafu unaogopa kukata moto
 
we si unajikutaga shujaaa, alafu unaogopa kukata moto
Hiyo mitutu itakapo ondoka ndipo utakapojua ni hali duni kiasi gani mliyomo.
Na najuwa hili unalitambua vizuri kabisa.

Hii tabia ya kinyama kabisa ya kufurahia na kuwatakia mabaya binaadam wenzenu ni utamaduni mnaourithi tokea wapi huu? Mnawafanyia watu uovu; halafu mnageuka hapo hapo kushangilia na kufurahia uovu wenu!

Sasa unafikiri mkiniondoa mimi ndipo matatizo yenu yatakwisha? Mbona hayajaisha mlipomteka Polepole na wengineo?
 
amna anaependa ila inapobidi hamna namna, kwa mlichokifanya 29 apo walifyekwa wachache sama, toka lini mhalifu akaonewa huruma?
 
Back
Top Bottom