ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,290
Kuna raia ambaye halipi kodi nchi hii?Unalipa kodi? Kama hulipi nenda kanye
We unadhani mishahara wanayolipwa polisi,wanajeshi,Rais na wengineo inatoka wapi kama siyo kwa mwananchi?
Aisee elimu ni muhimu sana hatakama mtu ukose ajira rasmi.Pole sana.