GE2025 Golugwa akamatwa na jeshi la polisi nyumbani kwake Dar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa hapa tulipofika karma itafanya kazi yake, unaumiza na kuua kwa upanga, utauwawa kwa upanga.

The mission to eliminate CDM is underway.
 
think tank ya ccm na ya twiss ina nipa mashaka
 
Kaandamane wewe Mwalimu fake.
Acheni upuuzi wenu nyie kuona vifo ni vitu vya kawaida. Badala ya kujenga mnazidi kubomoa. Hiyo mitutu mnayoulia watanzania ndicho mlichoapa kufanya?

Badala ya kutafuta kuliunganisha taifa, nyie mmebaki kuwa machawa mnaomuharibia rais
 
Acheni upuuzi wenu nyie kuona vifo ni vitu vya kawaida. Badala ya kujenga mnazidi kubomoa. Hiyo mitutu mnayoulia watanzania ndicho mlichoapa kufanya?

Badala ya kutafuta kuliunganisha taifa, nyie mmebaki kuwa machawa mnaomuharibia rais
Dada umependeza!
 
Kuua waue polisi kukamatwa wakamatwe wengine. Mimi nadhani meza ya maridhiano ndio tiba ya hili linaloendelea.

Lakini hii kutishana, kwangu haina afya
Umependeza dada!
 
Kwangu mimi CHADEMA hawahitaji kuhurumiwa. Walitumika na external forces kumhujumu Magufuli wengine mpaka wakazunguka dunia nzima wakitaka Tanzania tuwekewe vikwazo. Kiko wapi sasa? 😂😂😂😂

Kumbe lile lilikuwa ni trela tu. Karma is indeed a bitch and always be careful of what you wish for. Mimi nasema kamata genge lote la wahaini hao manyumbu sweka ndani mpaka watakapotubu na kuomba karma iwaachilie kwa dhambi ile!

 
Reactions: UCD
Kaandamane wewe Mwalimu fake.
Mimi naomba haki imtendee haki kwa namna alivyoleta madhara katika taifa.
Kazi nzuri.
Ni hivi, hao mnaowakamata wakamateni sana. Ila siku ya uchaguzi wananchi wamesema kwa vitendo hawawataki. Maandamano yalihitimisha tu sauti ya umma. Hicho mnachofanya ni kuficha aibu na kupunguza hasira ya kukataliwa na wananchi. Na maandamano ya siku za mbeleni lazima tushike silaha. Hamtaweza kutawala watu tena kwa shuruti. Hatuwataki, ujumbe huo ufike kwa upana wake.
 
Wanachi kutoka twita, JF, fesibuku na insitagilamu. Hao unowazungumzia ni wananchi hewa. Hakuna uraia kwenye social media.
 
Hujielewi mpuuzi wewe.

Nyie ndio mliozoea kunyonya damu za watu. Ndio maana hata hoja huna.

Mimi nazungumzia suala la maana, unaleta upumbavu wako hapa.

Kakojoe ukalale maana bado hujakua
Kweli bado sijakuwa nataka unikuze pia nipate pa kukojolea!! 🤣🤣
 
Bado hawataweza kunyamazisha saut ya mapambano
 
Kumbe unataka kushika silaha!!? Basi mimi sitakuweza mimi sijui kushika hata manati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…