PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali ambapo Muandishi Salim Kikeke aliweza kumuuliza waziri Mkuu Mwigulu kwamba Serikali imejiandaa vipi na maandamano yanayopangwa kufanyika Desemba 9, 2025 na ni wangapi mpaka sasa raia wa kigeni waliokamatwa kuhusika na vurugu za Oktoba 29. Amesema hii ni moja ya kiashiria ya vyombo vya habari vya ndani kukosa uhuru

Golugwa amewapongeza waandishi wa habari kwa kuwasilisha maswali mengi ambayo watanzania wamekuwa wakitaka majibu yao japo Waziri Mkuu hakuweza kuyajibu ipasavyo

 
Screenshot_20251122-095135.jpg
 
Back
Top Bottom