Poleni Familia ya Marehemu Chetuntu,
Mungu amuweke mahali pema peponi.
Ameen
Poleni sana familia yake na JF members kwa kumkosa mchangiaji kama huyu. RIP
Mzee mwenzangu uliyosema ni sahihi kabisa. Inasikitisha na kufedhehesha kuona nguvu kazi ya taifa inapotea mapema namna hii.Hili linaumiza sana...Kwetu ambao umri umeshaenda...Ni bora Mungu kama akiamua basi tutangulie sie kama tulivyokuja mapema....
Hii biashara ya kutanguliza wajukuu na watoto ni ngumu sana kuibeba katika akili na feelings za kibinadamu!
Tuzidi kuomba tena sana!
Mkuu unataka kutuambia kuwa Shetani ndo hupanga vifo na wala si Mungu?............. Na kwanini Mungu amuache shetani apange kuteketeza viumbe vyake? Si amwangamize?...This is unfair!Ng'ang'ana sana kwenye maombi na BWANA atakuokoa kwani KIFO si mpango wake ni mpango wa yule mwovu, Shetani.
shetani ndo ana run duniaMkuu unataka kutuambia kuwa Shetani ndo hupanga vifo na wala si Mungu?............. Na kwanini Mungu amuache shetani apange kuteketeza viumbe vyake? Si amwangamize?...This is unfair!
Wewe wa wapi ? hebu usichafue hali ya hewa hapa. Afadhali hata ungesema baada ya kifo kuna maisha mengine huko mbinguni,Shetani hana mamlaka kwenye mambo ya kifo,kazi yake ni kujaribu kukupoteza njia ukiwa hai.Ng'ang'ana sana kwenye maombi na BWANA atakuokoa kwani KIFO si mpango wake ni mpango wa yule mwovu, Shetani.