Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa utaratibu unakuwaje jamani? hatuendi hata kumpumzisha mwenzetu? au tunaomboleza tu humuhumu jamvini
Inauma sana! Ahaste BHTPole kwa familia,

Pole iribini my big brother

Pole kimey

Pole JF

Chetuntu, may your Soul Rest in Eternal Peace

Mungu ampe makazi mema katika makazi mema ya peponi -amen

Aspirin, Kimey na wana JF wengine tuwe pole na msiba.

Tumetoka kwa Mola na kwake ni marejeo yetu
Binamu we acha tu, siku hizi wanakufa vijana wazee wanazika........Mungu akiamua bana!What a loss! She was young and energetic. May your soul rest in Peace dear, God loved you most.
Thanks Xpin kwa taarifa kama hizi hata mie nilikuwa sijui kama kuna msiba huku hadi uliponifukunyua kutoka chimbo nilikokuwa nimejificha.
You are very useful in JF babu.
Binamu we acha tu, siku hizi wanakufa vijana wazee wanazika........Mungu akiamua bana!
Dunia ya tatu ukiwa mjazito basi mguu mmoja kaburini mwingine duniani.So sad she wanted to give life instead she has lost hers[/QUOTE
We acha tu mimi huyu dada ni mtu wa pili yaani ninaowafahamu kabisa ndani ya mwezi huu mmoja wamefariki kisa uzazi, nimechoka kabisa hapa wamama tuna tabu ni Mungu tu aingilie kati.
Ng'ang'ana sana kwenye maombi na BWANA atakuokoa kwani KIFO si mpango wake ni mpango wa yule mwovu, Shetani.