Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
R.I.P Chetuntu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!............ R.I.P Chetuntu. Nakumbuka nilimpokea jukwaa la utambulisho.
tena wewe ndiye uliyekuwa wa kwanza kabisa kumfungulia mlango alipobisha hodi hapa JF, its sooooo touching!!
raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanaga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, Amina!
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana libarikiwe!
Nakuunga mkono mkuu, mkifanikiwa mtujuze hata kwa pm ili na sie tuchangieMods: kuna thread nimeanzisha ni kitoa wazo la namna ya kumuenzi dada yetu Chetuntu lakini sielewi kwa nini imeunganishwa na ile ya JF ITOE POLE KWA WAFIWA WA ZANZIBAR! Case ya dada yetu ni tofauti kabisa so ningeomba muirudishe mlikoitoa kwa hakuna uhusiano kati ya kifo cha Chetuntu na ajali ya Nungwe!
Nakuunga mkono mkuu, mkifanikiwa mtujuze hata kwa pm ili na sie tuchangie
....Dadangu Moderators wameificha thread kule kwenye Msiba wa Zanzibar, sijui wamehusianisha vipi haya matukio mawili, so members wengi wameshindwa kuiona ile thread kwa sababu imefichwa kule.....pengine Moderators hawajapenda wazo lile? to me it was better wangeidelete tu kuliko kuipeleka kusikohusika......!