Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,970
Aaaaaaish, jamani why?? nilikuwa nachati nae sana kwa PM na nilijua ni mjamzito maskini chentutu, ni rafiki yangu sana humu, mara nyingi akiingia tuna pm hapa na pale,mara ya mwisho ni mwanzoni mwa august maskini angejua linalokuja labda angefanya cha ziada, napenda kujua alijifungulia hospital gani, Mungu ailaze roho ya marehemu chentutu mahala pema peponi.....naunga mkono pia kuchangia kwani sie humu ni binadamu na tunaweza kabisa kufanya jambo kuonyeshwa tumeguswa, nami naungana na wanaohitaji kutoa rambirambi zikasaidie familia yake