DOKEZO Gongo la Mboto karibu na Kituo cha Daladala cha Maliasili kuna tatizo la bomba la maji kuvuja sana

DOKEZO Gongo la Mboto karibu na Kituo cha Daladala cha Maliasili kuna tatizo la bomba la maji kuvuja sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Malaki

Member
Joined
Jan 12, 2016
Posts
87
Reaction score
42
Katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, kuna yard ya magari ya mwendo kasi. Kumekuwa na tatizo la maji ya DAWASA kuvuja na kutiririka katika eneo hilo.

Maji hayo yameendelea kutiririka kwa takribani mwezi mmoja, huku yakielekea hadi eneo la makaburi. Cha kusikitisha, licha ya wahusika wa DAWASA kufika na kuliona tatizo hilo, hadi sasa hakuna hatua madhubuti iliyochukuliwa kulitatua.

Tunaomba DAWASA ichukue hatua za haraka kurekebisha uvujaji huo ili kuzuia uharibifu wa mazingira na usumbufu kwa wananchi.

20260905_021330.jpg


Pia soma ~ DAWASA warekebisha bomba karibu na Kituo cha Daladala Gongo la Mboto lililovuja zaidi ya miezi miwili
 
Back
Top Bottom