Good bye my love safari njema

Good bye my love safari njema

Naona dada ako penzi limetaradadi, hasikii wala haoni. Bado wewe tu[emoji16].

Cc Carleen
😂😂😂😂😂
Siku naja mfungulia mtoto wa mtu thread, I swear I'll tag you wa kwanza kabisa, hapa makopakopa yanamiminika,

Umenichekesha Kaka aqe C, 'mxiiieeew'...!!
 
😂😂😂😂😂
Siku naja mfungulia mtoto wa mtu thread, I swear I'll tag you wa kwanza kabisa, hapa makopakopa yanamiminika,

Umenichekesha Kaka aqe C, 'mxiiieeew'...!!

Hatimaye undugu kati yangu na mgawa ubuyu, unataka kuuhalalisha kabisa sio?😅😅.

Nipo hapa kuusubiri huo uzi, mwaka huu nataka nijifunze kitu kutoka kwako dada unique.
 
Back
Top Bottom