Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Usiikane damu yako tafadhali , kuwa kama Mimi ambaye nimekubali kupambana na damu yangu (hivyo hivyo japo akili mbili kasoro)..!!Hatimaye undugu kati yangu na mgawa ubuyu, unataka kuuhalalisha kabisa sio?😅😅.
Nipo hapa kuusubiri huo uzi, mwaka huu nataka nijifunze kitu kutoka kwako dada unique.
Nasikitika kutangaza kuwa utajifunza vingi toka kwangu mpaka utakuwa expert wa kutupia sound na kurusha madini..!!😂