desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
Unabisha sikukutwanga 5g au hujaanza kufatilia mpiraEti nini..[emoji16]View attachment 2361731
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabisha sikukutwanga 5g au hujaanza kufatilia mpiraEti nini..[emoji16]View attachment 2361731
Nasma Simba si ilikutwanga 4gUnangoja nini kamanda?au unawaza kama mm?mi nataman huko mbele nikutane na kolo nilipakate tena
Au basi [emoji16]Unabisha sikukutwanga 5g au hujaanza kufatilia mpira
hilo ni jingaNa wewe utakuta una familia!![emoji29]
habari ndugu kuwa na familia or not inahusiana nini na post hii mororo kabisa?Na wewe utakuta una familia!![emoji29]
tulia wewe dogo wakubwa wakiwa wana post madini nyetihilo ni jinga
.Mume wenu
njaa kali ni kolo lenye tabia ya kuji geuza jinsia! dume jikeTuweke akiba ya maneno aisee
Kwahiyo last season Simba ndio ilicheza na Rivers united Nigeria?Nyie anzeni tu kukabia shobo na kuuchezea mpira JF. Mtajua hamjui. Msifikir CAF Champions League ni sawa na Azam federation au TPL. Na hivi mna miaka hamjawahi hata kugonga passport
Wewe jamaa unajua kuwachezesha kiduku nnya Sports ClubBaaada ya Yanga kuichakaza team ngumu ya Sudan Kusini kwa bao 9-0 (yes ni ngumu ni mabingwa na siyo dhaifu kama unabisha na wewe ni dhaifu maana mayelle alikupiga bao 2) hali hapo jijini Khartoum siyo nzuri kwa vigogo wa team.
Jana baada ya ushindi wa magumashi dhidi ya team dhaifu ya waimba kwaya wa Ethiopia waliowahi kualikwa Simba Day kulikuwa na kikao kizito kuijadili Yanga SC.
Imeonekana kwamba Yanga imekamilika kila idara na reality ni kwamba Al Hilal atapigwa goals 4 Dar es Salaam na goals 3 pale Sudan hivyo Yanga itasonga mbele kwa goals 7-0 kitu ambacho ma boss wa Al Hilal wamesema siyo mbaya sana ukizingatia ubora wa Yanga na ukubwa wa team hiyo.
Kocha Ibenge alijaribu kuulizwa uzoefu wake kuhusu Tanzania na wachezaji wa ki Congo alisema hakuna wa kumzuia Mayele ni lazima awafunge siyo chini ya goals 3 na ma boss walikubaliana naye.
Ila akasema "KINA FULANI" walishampa uzoefu kuhusu mbinu chafu pale uwanja wa taifa kama kupulizia sumu, kuloga ambazo aliambiwa nao kipindi akiwa AS Vita sema hana uhakika sana sababu Yanga ni team inayoendeshwa ki profesheno sana haitumiii mambo hayo ya ajabu labda Simba.
Kwa hiyo akawaambia kutakuwa hakuna haja ya kuweka mtu nje ya chumba cha kubadilishia nguo kwa kuwa yanga hawana mambo hayo ya kijingajinga.
Ila akawaambia amekuwa na bahati ya kupokewa airport na mamia ya mashabiki wake alipkuwa anakuja kucheza na simba na kushangiliwa uwanjani hivyo ana uhakika watajitokeza kwa wingi airport na uwanjani kumshangilia.
Uongozi ulifurahishwa sana na hilo lakini unachosubiri ni miujiza kwani Al hilal kuitoa yanga itakuwa story kubwa sana afrika yaani ni sawa na Daudi kumpiga Goliath, Yanga ni GIANT likuubwa siyo ya kulinganisha na KI- AL HILAL ambacho mashabiki wake wamekata kabisa tamaa wanasema bora wangekutana na makolo ambayo ni team mbovumbovu inayoshinda kwa taabu mechi kama ya Tz prisons.
View attachment 2361437
Unasemaa?!?List ni ile ile wenye akili ni wawili tu huko utopoloni