Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Siyo "upoze" ni "upooze"Ahaaa naona umeona upoze machungu kwa tusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo "upoze" ni "upooze"Ahaaa naona umeona upoze machungu kwa tusi
Sawa...Zbar ni pepo ya mashoga hapa East Africa na hakuna watu wenye majina ya Benjamin ama Netanyahu
Amna shida msambaaSiyo "upoze" ni "upooze"
Siyo "Amna shida" ni "Hamna shida"Amna shida msambaa
AiseeSiyo "Amna shida" ni "Hamna shida"
Nataka nikupelekee moto kama Iran anavyompelekea moto Israel
Hapa umeipatia ila punguza e mojaAisee
Duh kumekuchaHapa umeipatia ila punguza e moja
Asante sana mkuu, mzee anatisha sana. Ni lazima aenziwe.Hongera 😆😆😆
Mashine hizo za Dunia.
Huyo mzee ni tegemeo la miaka mingi sana.
Nakumbuka tangu niko Mdogo jamaa aliwahi kuwa nafasi hiyo baada ya miaka wametejesha.
AsanteeeeeeMajina yana siri kubwa, nimeita majina yenye nguvu ya kutikisa dunia.
NaamAsanteeeeee