Tetesi: Good News. Yule Shujaa Mwanamke wa Shoka, Shupavu na Shujaa wa Chadema, Kamanda Halima Mdee, Iron Lady is Back Ndani ya Nyumba!.

Nikwambie mmoja wa watu waliokuwa wanampinga halima ni heche na kuna siku nilikutana nae mimi qna kwa ana tukaongea jambo hili na alipinga sana,bahati nilikuwa na kopi ya barua ya mbowe iliyomtambulisha bungeni,nikamziba mdomo maana alikuwa akidai hakuna baria ya hivyo
Ungewasaidia wengi kama ungeweka kopi ya hiyo barua humu maana wenzako wameshindwa. Itakuwa umekata mzizi wa fitna kwa kuthibitisha hila na fitna za Mbowe.

Amandla...
 
Nikwambie mmoja wa watu waliokuwa wanampinga halima ni heche na kuna siku nilikutana nae mimi qna kwa ana tukaongea jambo hili na alipinga sana,bahati nilikuwa na kopi ya barua ya mbowe iliyomtambulisha bungeni,nikamziba mdomo maana alikuwa akidai hakuna baria ya hivyo
Katika vitu viongozi wa cdm wanachemka ni kuwapokea hao waumini wa vyeo kwa bashasha. Hao ilitakiwa hata kama wanarudi waachwe warudi bila kupewa promo yoyote.
 
Nikwambie mmoja wa watu waliokuwa wanampinga halima ni heche na kuna siku nilikutana nae mimi qna kwa ana tukaongea jambo hili na alipinga sana,bahati nilikuwa na kopi ya barua ya mbowe iliyomtambulisha bungeni,nikamziba mdomo maana alikuwa akidai hakuna baria ya hivyo

Na mm nakupinga, viongozi wa chadema walijua ishu ya wabunge wa covid one day before kuapishwa

Hiyo ya barua ni uongo
 
Back
Top Bottom