Tetesi: Good News. Yule Shujaa Mwanamke wa Shoka, Shupavu na Shujaa wa Chadema, Kamanda Halima Mdee, Iron Lady is Back Ndani ya Nyumba!.

Tetesi: Good News. Yule Shujaa Mwanamke wa Shoka, Shupavu na Shujaa wa Chadema, Kamanda Halima Mdee, Iron Lady is Back Ndani ya Nyumba!.

Bongo watu wanapenda vyama mpaka kwenye ujinga wanafukia.
Hizo tabia ndo zinafanya wananchi sometimes hawawaungi mkono..!!

Ile Oct 29 bila ya Mange, Polepole, na Gwajima hakuna mwananchi angetoka..!

Wanashindwa kujenga trust kwa wananchi na wanachama ndiomana wanashindwa kumtoa Lissu..

Ingekuwa wana misimamo wangepata nguvu ya wananchi wangefanya maandamano na Lissu angetoka..!!

Shida viongozi wao leo wanasema nyeupe Kesho wapo kwa veggies wanasema nyeusi..!

Keshokutwa wanarudi tena Chadema wanasema nyekundu. Upuuzi mtupu.
 
Na ukiwaambia wanaleta sababu za kupuuzi
 
Wanabodi,

Kama kawaida ya wewe mwana JF, pata ile the JF advantage, ya be the first to know!,
Kuna breaking news ya good news Chadema, yule mwanamke wao wa shoka, shupavu, shujaa na chuma cha pua wa Chadema, Kamanda Halima James Mdee, is back ndani ya nyumba!, amerejea Chadema!

Nitakupa zaidi baada ya confirmation.... ila kionjo ni hiki
View: https://x.com/godbless_lema/status/2063473283660427390?s=20

This is very good news ambapo Chadema itabarikiwa sana!, na Kawe pia inamsubiri ile 2030 ila kwa vile kutakuwa na wanawake wawili, maana CCM pia itamsimamisha mwanamke na sio mwepesi, kutakuwa na kazi,
Lakini Halima Karibu tena nyumbani kwako, (sio kwetu)
Paskali.

is back?
kwani aliwahi kwenda wap kwa mfano?🐒
 
Tusubiri tuone!
Hakuna kitakachobadilika kwa sababu ccm hawawezi tena kushindana jukwaani na vyama vingine, hawako tayari kubadilisha chochote, hata wakibadilisha sheria watu wa tume za uchaguzi watabaki wale wale kwa lengo lile lile.

CCM hawataondoka madarakani kwa sanduku la kura na hata ikitokea hivyo wataondoka kwa gharama ya uhai wa watu wengi sana.

Ogopa sana chama cha siasa kikijivua gamba na kuwa genge la wahuni lenye mfumo wa kitaasisi.
 
Mbona unazungumzia watu?

Jisemee mwenyewe, sema October ulitoka, mtu kama Msigwa ni Asset kwenye chama

So bora amerudi kuongeza nguvu
Ndio nilitoka na wengi tuliotoka hatukuwa na kadi ya chama chochote lakini tuliweka u taifa kwanza..!!

Msigwa sio asset acha kumkuza.
Tulivyoandamana Msigwa alikuwepo na alichangia nini mpaka wananchi tukatoka?

Msigwa kaifanyia nini Chadema zaidi ya kuivua nguo na kutoa siri za chama kwa veggies??

Acheni kuchukulia mambo kwa urahisi
 
Muda wa miaka 5 umeisha, so yes mwache harudi tu

Me sijaona kosa lake,

Viti 19 vilikuwa ni halali yao kisheria, I'm sure vile viti vingeruhusu wanaume kwenda then wakila lema wasingeviacha
mie sijui kama ni kosa, au kama ingekua ni fursa pia kwa wanaume, kama akina lema na heche wangelazia damu nafasi hizo.

sifahamu kwakweli 🤣
 
Back
Top Bottom