Tetesi: Good News. Yule Shujaa Mwanamke wa Shoka, Shupavu na Shujaa wa Chadema, Kamanda Halima Mdee, Iron Lady is Back Ndani ya Nyumba!.

Tetesi: Good News. Yule Shujaa Mwanamke wa Shoka, Shupavu na Shujaa wa Chadema, Kamanda Halima Mdee, Iron Lady is Back Ndani ya Nyumba!.

Wanabodi,

Kama kawaida ya wewe mwana JF, pata ile the JF advantage, ya be the first to know!,
Kuna breaking news ya good news Chadema, yule mwanamke wao wa shoka, shupavu, shujaa na chuma cha pua wa Chadema, Kamanda Halima James Mdee, is back ndani ya nyumba!, amerejea Chadema!

Nitakupa zaidi baada ya confirmation.... ila kionjo ni hiki
View: https://x.com/godbless_lema/status/2063473283660427390?s=20

This is very good news ambapo Chadema itabarikiwa sana!, na Kawe pia inamsubiri ile 2030 ila kwa vile kutakuwa na wanawake wawili, maana CCM pia itamsimamisha mwanamke na sio mwepesi, kutakuwa na kazi,
Lakini Halima Karibu tena nyumbani kwako, (sio kwetu)
Paskali.

Retired Tindo zitto junior

Erythrocyte
 
Nikishaona pongezi yako mnafiki kama wewe naitilia shaka kubwa, Mdee anaonekana karudi kwa shinikizo kama anapata pongezi kutoka kwa watu wa sampuli yako ilhali alisaliti harakati na kwenda kuapishwa karakana.

Mdee huyuhuyu 2021 alionekana akibusu picha ya Magufuli alipokua akisaini kitabu cha maombolezo , wakati miezi mitano nyuma kuna watu walikufa wengine kupewa kesi wakimpigania Mdee ushindi wake katika box la kura akaishia kuwatosa na kwenda kuapishwa karakana kama mbunge haramu katika bunge haramu la CCM.

Huenda mmemtuma Mdee kwa kazi maalum.

Hapana hii pongezi ninaikataa kwa nguvu zote, ukiona adui yako anakusifia ukiwa mchezoni rudi nyuma jitizame.
images - 2026-06-07T142718.811.jpeg
 
Usipoteze matumaini na CHADEMA. Wako makini sana. Mimi siku nikiona CHADEMA wamewakumbatia yale mashangingi Ester Matiko na Ester Bulaya then nitaachana na CHADEMA
Mimi hapa ndipo ninaposhangaa. Itakuwaje hauna tatizo nal watu waliozunguka nchi nzima kuisema vibaya Chadema na mwengine aliandika mpaka kitabu kuweka wazi vitendo viovu vya Chadema vya kuteka na kuwatesa wanachama wanaotofautiana nacho.

Hao hauna tatizo kuwakumbatia, shida yako ni hao wanawake ambao sijawasikia ( inawezekana nimekosea) wakikisema vibaya chama chao cha awali na uongozi wake. Au shida ni ushangingi wao?

Amandla...
 
Wanabodi,

Kama kawaida ya wewe mwana JF, pata ile the JF advantage, ya be the first to know!,
Kuna breaking news ya good news Chadema, yule mwanamke wao wa shoka, shupavu, shujaa na chuma cha pua wa Chadema, Kamanda Halima James Mdee, is back ndani ya nyumba!, amerejea Chadema!

Nitakupa zaidi baada ya confirmation.... ila kionjo ni hiki
View: https://x.com/godbless_lema/status/2063473283660427390?s=20

This is very good news ambapo Chadema itabarikiwa sana!, na Kawe pia inamsubiri ile 2030 ila kwa vile kutakuwa na wanawake wawili, maana CCM pia itamsimamisha mwanamke na sio mwepesi, kutakuwa na kazi,
Lakini Halima Karibu tena nyumbani kwako, (sio kwetu)
Paskali.

Huyu Lema naye wawe naye makini, naona kama ni mole wa Mbowe. Ameshamkaribisha Gambo, Nchimbi na sasa Mdee. Huyo mdee alishapewa masharti waziwazi kuwa afuate utaratibu wa kuomba uanachama upya maana alifukuzwa. Huyu Lema ana siasa za kidalali sana
 
Halima. Kinachompa credit na kuoneka amekomaa kiitikadi,Ni kutokwenda chama kingine cha Siasa hii inaonyesha anaamini katika falisafa na itikadi YA chadema imemtofautisha Sana na wanasiasa kama zitto Kabwe aliyeenda kuanziasha chama kingine Chenye falisafa na itikadi tofauti na chadema iliyomlea lakini pia na msigwa amabaye alihama chama japo hakuibagaza Sana chadema kama alivyofanya wenje....
Halima Ni mwanachadema hasa,amethibitisha...!
 
Nikwambie mmoja wa watu waliokuwa wanampinga halima ni heche na kuna siku nilikutana nae mimi qna kwa ana tukaongea jambo hili na alipinga sana,bahati nilikuwa na kopi ya barua ya mbowe iliyomtambulisha bungeni,nikamziba mdomo maana alikuwa akidai hakuna baria ya hivyo
Mhuri wa Mnyika aliiba Kigaila kwa msaada wa Mbowe kama hakikisho. Wale jamaa walikuwa wamekaa kuhakikisha fedha fulani inazunguka kwao ndiyo maana ikawa rahisi kufanya uhuni.

Lile kundi la Mbowe wao kitu walikuwa wanataka ni ruzuku kwanza ndiyo maana yakakimbilia Chauma ili yaone chochote kitu. Yameona hakuna kitu yamekimbia yote. Mungu fundi sana sema Halima angeamua kuwa chawa 2025 basi leo angekuwa bungeni kirahisi kabisa ni vile anaonekana kusutwa na yaliyotokea huko nyuma. Ndiyo maana alkkuwa anasema anakaa kimya ili kulinda uhai wa chama. In short Lissu kaiondoa Chadema kwenye chaka la ajabu kwa miujiza.
 
Katika vitu viongozi wa cdm wanachemka ni kuwapokea hao waumini wa vyeo kwa bashasha. Hao ilitakiwa hata kama wanarudi waachwe warudi bila kupewa promo yoyote.
Mdee ni assets huwezi kumrudisha nyumbani kama vile unavusha demu geto, Mdee ni wakati muafaka chadema imteue kuwa katibu mkuu achuane vizuri na mwanamke mwenzake asha-roz migiro
 
Back
Top Bottom