Unajua
Dinazarde hakuna sehemu yeyote duniani ambayo haina fujo na mauaji...ishu ni wewe unajiposition vipi unajiwekaje.... company zako ni za watu wa aina gani? Biashara zako ni zipi legal au illegal?
Kwa mm nishakua mwenyeji najua jinsi ya kuishi na hawa jamaa ni wabaguzi sana coz walishabaguliwa sana..Na nipo Cape Town kidogo hali ni tulivu...Vichaa wapo Kwazulu Natal(Durban),Soweto...Johannesburg huko siyo poa.All in all ni kuwa makini tu...Karibu siku moja uje ushangae shangae...kama unapenda kula hizi junk foods kama za Nandos,Steers sijui Macdonalds ndio mahala pake..Ma aplle na Zabibu ndio usiseme...Hata kama unatumia kale kamjani/mmea huku kuna grade A ya hapo Swaziland(swazgold)[emoji23][emoji23]lazima usahau shida.