Good Old Days

Good Old Days

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,172
Hakika nimeimiss JF ya kuanzia mwaka 2012 kurudi nyuma...Ni mtizamo wangu(my opinion)JF now days kuna members wanazingua sana..mtu anaaanzisha hata uzi wa kipuuzi na unapata airtime ya maana tu..JF ya kipindi hicho hata ku-comment mtu unawaza sana.... sembuse kuanzisha uzi.
 
Yaani uzi kama huu yani...

Those good old days yani...
 
[emoji1787][emoji41]
Was waiting for this for a very fu..... long time.....Leo imetimia[emoji23][emoji23]Unajua huwa inatokea kuna member mmoja huwaga unamu admirer tu from the middle of no wea..Ikitokea amecomment kwenye uzi wako hata Lunch unaweza usile coz ni shibe tosha.
 
Hahaha unataka nivimbe kichwa nipasuke Rural swaga kwa hiyo umeshiba eee

Kwanza umepoteaa kweli nawe ndio maana nimekujaa
 
Mwenzangu nimeshiba mpaka usingizi ukanipitia... haka kajina haka Dinazarde kanaongeza damu na maji mwilini...Kuhusu kupotea nahisi ni hii awamu ya 5 nimepoteza apertite ya kila kitu..kasi ya shilingi na uchakavu wa noti unatuweka busy kidogo...Ila alhamdulilah maisha yanasonga kibishi...Alafu si unajua niko mbali Transit kwa Mkaburu(SA)huku ukizubaa wanakutoa kafara mama.
 
Ila Rural unajua sijasahau vituko vyakoo
Hahahahahah
Shukrani sanaa kama nakuongezea maji na damu mwilini na apetaiti juuu

Huko nasikia mauaji unaishije kaka [emoji199]
 
Kuna rafiki yangu alonifanya nijiunge jf(siku hizi nae kapotea, husema hivyo hivyo "jf haina la maana siku hizi") nakumbuka jf ilikuwa jf kweli.
CC ilikuwa moto, kulikuwa na utani wa burudani haswa. Unaweza usicomment kitu ila unajisikia raha tu kusoma comments unacheka kama chizi peke yako.
 
Unajua Dinazarde hakuna sehemu yeyote duniani ambayo haina fujo na mauaji...ishu ni wewe unajiposition vipi unajiwekaje.... company zako ni za watu wa aina gani? Biashara zako ni zipi legal au illegal?
Kwa mm nishakua mwenyeji najua jinsi ya kuishi na hawa jamaa ni wabaguzi sana coz walishabaguliwa sana..Na nipo Cape Town kidogo hali ni tulivu...Vichaa wapo Kwazulu Natal(Durban),Soweto...Johannesburg huko siyo poa.All in all ni kuwa makini tu...Karibu siku moja uje ushangae shangae...kama unapenda kula hizi junk foods kama za Nandos,Steers sijui Macdonalds ndio mahala pake..Ma aplle na Zabibu ndio usiseme...Hata kama unatumia kale kamjani/mmea huku kuna grade A ya hapo Swaziland(swazgold)[emoji23][emoji23]lazima usahau shida.
 
Siku hizi sasaa uwiiii vita vitaa jamani
 
Kuna rafiki yangu alonifanya nijiunge jf(siku hizi nae kapotea, husema hivyo hivyo "jf haina la maana siku hizi") nakumbuka jf ilikuwa jf kweli.
CC ilikuwa moto, kulikuwa na utani wa burudani haswa. Unaweza usicomment kitu ila unajisikia raha tu kusoma comments unacheka kama chizi peke yako.
Eti wakishua humu ndani siku hizi cjui anaitwa eti KidukuLilo[emoji23][emoji23][emoji23]...Enzi hizo kuna mbishi @Nyaningabu transit Washington Dc amejiweka kama wakishua ila akili nyingi sana.Enzi hizo ukitamkiwa jina Invisible unajihisi ushatundikwa msalabani
 
Unajua Dinazarde hakuna sehemu yeyote duniani ambayo haina fujo na mauaji...ishu ni wewe unajiposition vipi unajiwekaje.... company zako ni za watu wa aina gani? Biashara zako ni zipi legal au illegal?
Kwa mm nishakua mwenyeji najua jinsi ya kuishi na hawa jamaa ni wabaguzi sana coz walishabaguliwa sana..Na nipo Cape Town kidogo hali ni tulivu...Vichaa wapo Kwazulu Natal(Durban),Soweto...Johannesburg huko siyo poa.All in all ni kuwa makini tu...Karibu siku moja uje ushangae shangae...kama unapenda kula hizi junk foods kama za Nandos,Steers sijui Macdonalds ndio mahala pake..Ma aplle na Zabibu ndio usiseme...Hata kama unatumia kale kamjani/mmea huku kuna grade A ya hapo Swaziland(swazgold)[emoji23][emoji23]lazima usahau shida.

Oooooh kila kheriiiii kabisa

Ubarikiwe na viongozweee zaidii
 
Back
Top Bottom