Goodbye our commander Umkontho

unajuaje ilikuwa ni ya nyerere, ya balali uliiona??
 
Kama zakuwasha pilipili, wakunaji tupo
 
Huyo marehemu uwepo wake tu ulikuwa na utata,ajabu hadi kifo chake bado pia kuna utata.

Halafu mtu ukiongea unaonekana kama una chuki.
Kukuambia uachane na hizi mambo zako za kipuuzi za kujizushia kifo ndiyo unaona chuki na wewe ? This world really needs an enema, hebu muwe mnamgrow up basi.
 
Kwani lazima,ujue, na kuona maiti ya kila mtu? Mbona wengi tu, wameondoka bila kujulikana, Kuna mambo mengine, yako,hivyo, hivyo kama yalivyo...

Aidha, naomba tusianze matusi kumuenzi marehemu

unajuaje ilikuwa ni ya nyerere, ya balali uliiona??

Kama zakuwasha pilipili, wakunaji tupo

born from the noble halls of Zion,bless you princess

Get some help, you are going senile.
 
Movement ipo, ila wewe ndio haupo katika movement...haikuwahi kukoma
Ipi namna gani? Tuambie. Au ni ile ya marasta toka Jamaica kuhamia Ethiopia? Au ni ile ya waethiopia kupenda kuzamia Afrika Kusini? Naona kama imebaki vitabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…