Goodbye our commander Umkontho

wewe na hao wenzio wachache mnaojifanya kujua habari za huyo marehemu wenu wa kufikirika ni wajinga.
 
Kama msiba haukuhusu, na movement hii, unataka nini?
kama hayatuhusu, kwanini mmeleta hii habari hapa kwenye public forum?si mgeunda tu group la whatsapp ili mjadili kivyenu.

mbona mkiulizwa details za huyo marehemu wenu hamtaki kuzitoa, kama sio ujinga ni nini?. stupid thread of month.
 
Sababu, haziko katika mamlaka yetu, kuzitoa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…