Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko vizuri.
DON kwa nini huimbi kiswahili sasa, Wimbo mzuri ila kiingereza cha kisukuma kinaharibu wimbo.
I am soldier i am a soldier...
Komaa mkuu.
Nakuona.
Burnaboy in the making.
Mkuu ungekuwa unaimba kisukuma ungepiga pesa.International level only.
Mkuu ungekuwa unaimba kisukuma ungepiga pesa.
Maana unamwachia pesa zote Bhudagala
Ngoja nisikilize mkuu.
It's better aiming higher.Hahahahahah, tukutane South Africa, Kenya, Uganda, Nigeria na U.S.A na Brit
DON kwa nini huimbi kiswahili sasa, Wimbo mzuri ila kiingereza cha kisukuma kinaharibu wimbo.
Don unamfadhili ama ni pesa ya mfukoni inagharamia
lengo lako kimuziki ni lipi
Don unamfadhili ama ni pesa ya mfukoni inagharamia
lengo lako kimuziki ni lipi