avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
1.Sauti haijatengenezwa unaimba kienyeji sauti ya kisukuma haijachjwa. Mtafute vocal coach unaona engineer anavyohangaika kutumia pich correct na auto tune angalau sauti uwezo kusikika
2.Matamshi ya maneno na kujaza maneno yaendane na melody umeshindwa ndio maana neno goodbye unalitamka GUDUBAYI
3.Saa nyingine unaachwa na ngoma.
4.Kama ndio unajidanganya kuwa baada ya kukatishwa mkataba wa kazi utaendesha maisha yako kwa music nakushauri tafuta kazi nyingine kama uniamini bongo stars search inaanza najua utashiriki kwa sababu unajiona unajua lakini msubiri salama atakachokuambia.
5.Nadhani producer alishindwa kukuambia kwa sababu ulimlipa lakini muziki kwako haiwezekani
Wenzako wanaanzaga kwanza kwenye kwaya halafu wakishajua namna ya kutoa sauti ndio wameingia studio oher wise una uhuru wa kungangania lakini naamini unapoteza muda kama msanii mwingine ambaye kazi yake ni kulalamika tuu anajii ta .....baya.
6. Ushauri wangu wa mwisho kama unataka angalau ueleweke kwenye usanii jikite kwenye nyimbo za ngoma za asili kama akina bob haisa, na wasanii wengine ambao nyimbo zao zinaimbwa usukumani ndani ndani lakini kwenye muziki wanaokuambia utatoboa wanakupotezea muda. Bora fedha kidogo uliobakiwa nayo anzisha biashara ndogondogo si ulisema mshahara ulishasimama???