"GOODBYEE" wimbo mpya wa pili kutoka wa DON NALIMISON. Umetoka rasmi leo

"GOODBYEE" wimbo mpya wa pili kutoka wa DON NALIMISON. Umetoka rasmi leo

Don mtu mbaya.Hongera sana, nadhani ni vema ukaiweka itunes, na online stores zingine. Umetisha sana
 
The Don Himself, ahsante kwa kufurahisha masikio yetu kwa nyimbo nzuri ya Ung'eng'e .....nakuona mbali sana ukipasua anga za kwa Trump[emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434]

Amen.
 
Back
Top Bottom